Hizi siku nyingine hizi haaa!

Hao bundi utakuwa umewaleta wewe,

Kwa jina la..........USHINDWE NA UTETEMEKE na UPOOZE katikati ya mwili wako tu

Dua kama hizi, hata kwa Babu Loliondo zilikuwepo! Sambamba na kikombe!
Mwisho wa siku kikombe na dua zake viliishia arijojo!
 
kisu kama kile cha kulwa au?
NAULIZA TU!

mamamamamamaaaaaaaaaaaaaa
jamani mbavu zangu mwal khaaaaaaa!
ila sisi hapana naamin hatujawah kuonekana khaa! hivi sijui Kulwa huwaga akikumbuka ishu ya kisu inakuwaje manake mie nikikumbuka nacheka hadi machozi yaatoka mweeeh!
umenizibua akili wewe si hamu.
 
unataka kuwa maid of honor???au flower gelo?
af Bishanga mbn wantafuta hivo unandai?????
au nakudai manake ushafilisika siku hiz!

snowhite umentukana ujue...poa tu.
Kopi @gfsowin.......mwambie mamito sawa bana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…