Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!! Unatafuta ugomvi...
mpe pole sana. I hope amekoma, hatarudi tenaKwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa kwa hasira kafungua phonebook bila kuwa makini akampigia mkewe badala ya kimada na kumwaga matusi hadi akaridhika......mambo yote yakawa hadharani, jamaa hakurudi nyumbani hadi asubuhi ya jana alipokuja na mshenga na mkwewe kuyasuluhisha. Wazee wa Infidee elimu zaidi inahitajika juu ya zile sheria zenu!!
Hahahaa, mimi kuna siku nilikuwa nimekaa na rafiki yangu tunakula weekend mahali, Sinza. Jamaa siku hiyo alikuwa na furaha sana maana alikuwa amelipwa hela kwenye tender fulani aliyokuwa ameifanya. Akaniambia "leo fulani (akamtaja msichana ambaye amekuwa akimsumbua kila siku) lazima anikome. Ngoja nimwite hapa, atakuja tu". Akaandika ujumbe "Mama mpenzi wangu...(akaandika jina la msichana), njoo hapa (akataja tulipokuwepo) upate unachokitaka, nitakuwekea mafuta ya 100,000/= kwenye gari yako, leo hutajutia kukaa na mimi....akamalizia "I love you so much sweet". Jamaa alivyo ***** na nadhani alikuwa anaitesa sana familia yake kimahitaji hivyo Mungu akaamua kumwadhibu, si akaituma kwa MKE WAKE. In seconds akajibiwa navaa baby, nakuja sasa hivi, ni mimi ...(akaandika jina la msichana aliyetajwa kwenye simu" Jamaa kuja kugundua amemtumia mke wake, mkojo ukamtoka. Akasimama akashidwa, akaniambia "nimeshaharibu". Akaweweseka, akaingia kwenye gari, alivyorudisha nyuma ili atoke, akamgonga aliyekuwa nyuma yake, zikamtoka 170,000/= za kutengeneza. Nikamwambia sasa unaniachaje hapa Mkuu wakati wewe ndo ulinipigia nije una hela leo. Alinifurumishia matusi mpaka baa nzima ikataharuki. Currently the man is no longer with his wife. Take care my friend with mobile phones usage.Kwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa kwa hasira kafungua phonebook bila kuwa makini akampigia mkewe badala ya kimada na kumwaga matusi hadi akaridhika......mambo yote yakawa hadharani, jamaa hakurudi nyumbani hadi asubuhi ya jana alipokuja na mshenga na mkwewe kuyasuluhisha. Wazee wa Infidee elimu zaidi inahitajika juu ya zile sheria zenu!!
Hebu mpelekee huyo jamaa sheria zetu mama, na azingatie kwa kina Sheria namba 12. Nimemwekea Link Hapo. Waweza kumprintia kama hana access na net.Kwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa kwa hasira kafungua phonebook bila kuwa makini akampigia mkewe badala ya kimada na kumwaga matusi hadi akaridhika......mambo yote yakawa hadharani, jamaa hakurudi nyumbani hadi asubuhi ya jana alipokuja na mshenga na mkwewe kuyasuluhisha. Wazee wa Infidee elimu zaidi inahitajika juu ya zile sheria zenu!!
Asante babu nimempatia sheria hizi!Hebu mpelekee huyo jamaa sheria zetu mama, na azingatie kwa kina Sheria namba 12. Nimemwekea Link Hapo. Waweza kumprintia kama hana access na net.https://www.jamiiforums.com/mahusia...jue-sheria-mama-za-infidelity.html?highlight=
Hii nayo kali, inabidi kuwa makini na hizi simu!Hahahaa, mimi kuna siku nilikuwa nimekaa na rafiki yangu tunakula weekend mahali, Sinza. Jamaa siku hiyo alikuwa na furaha sana maana alikuwa amelipwa hela kwenye tender fulani aliyokuwa ameifanya. Akaniambia "leo fulani (akamtaja msichana ambaye amekuwa akimsumbua kila siku) lazima anikome. Ngoja nimwite hapa, atakuja tu". Akaandika ujumbe "Mama mpenzi wangu...(akaandika jina la msichana), njoo hapa (akataja tulipokuwepo) upate unachokitaka, nitakuwekea mafuta ya 100,000/= kwenye gari yako, leo hutajutia kukaa na mimi....akamalizia "I love you so much sweet". Jamaa alivyo ***** na nadhani alikuwa anaitesa sana familia yake kimahitaji hivyo Mungu akaamua kumwadhibu, si akaituma kwa MKE WAKE. In seconds akajibiwa navaa baby, nakuja sasa hivi, ni mimi ...(akaandika jina la msichana aliyetajwa kwenye simu" Jamaa kuja kugundua amemtumia mke wake, mkojo ukamtoka. Akasimama akashidwa, akaniambia "nimeshaharibu". Akaweweseka, akaingia kwenye gari, alivyorudisha nyuma ili atoke, akamgonga aliyekuwa nyuma yake, zikamtoka 170,000/= za kutengeneza. Nikamwambia sasa unaniachaje hapa Mkuu wakati wewe ndo ulinipigia nije una hela leo. Alinifurumishia matusi mpaka baa nzima ikataharuki. Currently the man is no longer with his wife. Take care my friend with mobile phones usage.
Huyo jamaa yako hajasettle teh! teh! Kigogo-Luhanga nin?Kwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa kwa hasira kafungua phonebook bila kuwa makini akampigia mkewe badala ya kimada na kumwaga matusi hadi akaridhika......mambo yote yakawa hadharani, jamaa hakurudi nyumbani hadi asubuhi ya jana alipokuja na mshenga na mkwewe kuyasuluhisha. Wazee wa Infidee elimu zaidi inahitajika juu ya zile sheria zenu!!