Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Refub zina gred ila refub nyingi zinazo kuja bongo ni zile gredi zilizotengezwa sana au kurudiwa.Za muda huu wakuu
Nimekuwa nikiona simu mpya brand Kama iPhone , mfano iPhone 8 mpya full box mtu kapewa zawadi ..nilijaribu Google naona Ni simu ya muda Sana
Je Ni refurbished hizo simu au zilitengenezwa nyingi Sana au vp iweje Hadi leo mtu anapata iPhone 7 mpya
Vipi kuhusu ubora wake battery na simu kwa ujumla kwa kuwa battery kukaa idle for 2yrs haijatumika hio tayari haiwezi tunza chaji Tena
Dhuu aseeRefub zina gred ila refub nyingi zinazo kuja bongo ni zile gredi zilizotengezwa sana au kurudiwa.
Tulinunua simu inaonekana mpya ila ndani kuna nyanya zimechomelewa utazani wanabadilisha gridi ya taifa.
Bongo ukiwa serious sana utaugua vidonda vya tumbo na pressure tu.