Ila wamesahau msemo huu, kwamba siyo kila siku ni J'mosi. Wanadhani, mbinu zilizotumika kuiua NCCR na CUF itafanikiwa kwa nyakati na majira haya. Hapa, hizi ni nyakati nyingine kabisa. Utatu hautatumilika. Ni zamu yao kufa...
And we are very aware of their strategies which are coordinated by series of killer events:
1. Tarehe 9/4/2025; EXECUTE STRATEGY #1
• Kamata Mwenyekiti wao Tundu Lissu, tia ndani, bambika kesi kwa kosa lisilo na dhamana. Lipi hilo? Uhaini - treason. Tutamtoa huko akikubaliana Ts&Cs zetu...
LENGO:
√ CHADEMA wajifungie ndani kulia kama ilivyokuwa wakati wa movement ya kudai katiba mpya iliyoongozwa na Freeman Mbowe 2021..
√ Mwenyekiti akawaambia, don't cry for me. Jililieni nafsi zenu, endeleeni na movement ya NRNE. Nitatoka, tutakuwa pamoja, TUTASHINDA.
√ This also shocked them, coz it failed spectacularly. Noises for this, were everywhere in and outside the country
2. Tarehe 13/5/2025; STRATEGY #2
• Msajili wa vyama vya siasa, tumia mamlaka yako. Tafuta mjinga mmoja humo ndani mwao, mpe pesa za kutosha, mwelekezeni vizuri amlalamikie Katibu mkuu wao kuwa uteuzi wa baadhi ya wajumbe wa KK na Secretariate haukukidhi matakwa ya kikatiba. Haijalishi watajibu nini, tumia mwanya huo, tengua uteuzi huo
LENGO:
√ CHADEMA wata - panic na kuanza kukimbizana kujiokoa badala ya kuendelea na kampeni ya NRNE.
√ Iliwashitua sana hawa hayawani because nothing special happened to satisfy their souls. They had to push to execute the next strategy..
3. Tarehe 27/5/2025; STRATEGY #3
• Msajili wa vyama, akafumba macho, akakanyaga sheria, katiba ya nchi na taratibu. Akaamuriwa ku - abuse mamlaka yake.
• Akawa pushed kutekeleza tishio la mkakati wa #2 hapo juu. Kujifanya hatambui viongozi walioteuliwa. Akafanya hivyo..
• Kwa hiyo, akafanya final execution, kwa kusimamisha ruzuku ya TZS 100,000,000+ ya kila mwezi kwa ajili ya chama...
LENGO:
√ CHADEMA izimie roho, waanze kulia kwa kukosa pesa na watasimamisha kampeni yao ya NRNE kwa ukata. Haikuwa hivyo, moto ukawaka zaidi...
√ Wananchi wakasema, sisi ndo ruzuku yenu, CHADEMA ni chama chetu. NRNE ikaendelea kuchanja mbuga ikifagia masalio ya CCM kila mahali.
√ They were completely shocked. Swali likawa, what we have to do now..?
Tarehe 10/6/2025; STRATEGY #4
• Go to the next level of our strategy. Use one of our judge to Stop them 🛑 from continuing with the rallies on NRNE. It happened...
LENGO:
√ Wanadhani wamemaliza kazi. Kazi ya kuieneza NRNE itaishia hapo.
√ They're completely wrong...
√. Mungu wa mbinguni yuko kazini kuikomboa Tanganyika kutoka kwa hawa hayawani toka Zanzibar wakisaidiana na Watanganyika wenzetu wachache, waliokosa uzalendo wa nchi na taifa lao la Tanganyika na badala wanashirikiana na hayawani hawa kuumiza Watanganyika..
ZAMU YA MAPIGO YAO KADHAA INAKUJA KUJIMALIZA. YATAFANYWA NA MIKONO YAO WENYEWE HAWA HAYAWANI..!
• Kila strategy waliyo execute hapo juu, Ina Makosa yaliyosababishwa na Mungu Yehova mwenyewe pasipo wao kujua Ili watu wake Mungu wapate ku - capitalize na kushinda vita hii..
• Ndugu, The Almighty God is at work. He won't allow them to win. Their time in the spiritual realm is over. It's soon going to be justified physically for each of us to see with our naked eyes..
SWALI LAKO NI;
Je, kina
Si Lembrus Mchome
Si Said Issa Mohammed, Maulida Anna Komu, na Ahmed Rashid
Na wala si Freeman Aikael Mbowe ni washirika wa huu mkakati...?
The ANSWER is BIG YES..!!
Si hao👆 tu...
Wengine ni wallioko huko CHAKU - UUMA au CHAUMA tayari...
They're openly saying, tunaihamishia CHADEMA huku - CHAUMA. Hapa wana maana ya ile CHADEMA chafu, corrupt, ya wezi na iliyojaa ulaghai kwa wananchi ndio inahamia huko..
And mind you. Hii si kauli ya kisiasa tu. Ni mkakati halisi unaofadhiliwa na CCM na dola, na ndivyo inavyofanyika...
Kwa upande wa hawa, definitely, hawana chochote watakachopata zaidi ya vipesa vya bia, safari na kununua vijigari used. Hii ni project ya pamoja kati ya Freeman Mbowe wafuasi wake upande mmoja na CCM/dola on the other hand..
Freeman Mbowe hafikiri tena kuwa, CHADEMA ni chama alichokijenga na kuwa hapa kilipo. Yeye ni maslahi yake kwanza. Kama atashindwa kupata kupitia CHADEMA, atatafuta njia nyingine. Ndiyo hii inayoendelea sasa.
Ni kisasi cha kutibuliwa ulaji wao vs Maslahi ya umma/wananchi. It's Almighty God vs The devil himself 👿
You can easily see the winner here, right..?
It's just a matter of time...
In conclusion, huu ni mkakati wa kidola, unaoratibiwa straight from Ikulu ya Chura Kiziwi..
Wamebakisha strategy mbili na zote zitakuwa za makosa na kwa hizo watajichinja kwa mikono yao wenyewe...!