Hizi speech za Mbowe "UTAIPENDA" kama hutazikubali kwa kinywa lazima utazikubali kimoyomoya.

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,249
Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.

Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
 
Kwan kasemaje??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mna muabisha Mwenyekiti kwa namna hii ya kuuleza alichikisema.
 
Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.

Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
91758ABE-EEFD-42E3-B381-8BA18B807279.jpeg
 
Mbowe yuko programmed! articulated!
 
Na kama angekuwa Mke Wa Magu lazima ningetamani awe Mke wanguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.

Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Upupu mtupu kaongea

Anajichanyanya sana kachemja kabila sana leo
Kama speech yake ya leo unaikubali basi mwaka Huu CDM hamtoboi mtapoteana sana
 
Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.

Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Mmetumwa wangapi kuanzisha threads za kumsifia?
 
Back
Top Bottom