Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.
Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Mbowe yuko programmed! articulated!Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.
Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Na kama angekuwa Mke Wa Magu lazima ningetamani awe Mke wanguuKama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.
Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Mbona DJ ya Madagascar kagundua dawa ya covid na mmepeleka ndegeLini dj wa muziki akatoa hotuba zaidi ya porojo tu
Upupu mtupu kaongeaKama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.
Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako.
Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako.
Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe kaka yako.
Kama angekuwa baba wa jirani lazima ungetamani awe baba yako.
Asante msanii Hussein Machozi uliona mbali kwa ujumbe murua, pole wanafiki wanaoshindwa kukubali speech za Mbowe kwa vinywa vyao lakini moyoni wanakubali kwani mioyo yao itaendelea kuwatafuna.
Mmetumwa wangapi kuanzisha threads za kumsifia?Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako.