Tetesi: Hizi story kuwa Nabii Tito atunae ni za kweli?


Nasimama na mwamba mana Hata angewashitaki hamna kitu

Kila lenye jema gerezani mkuu
 
Nimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa?

Ikumbukwe nabii Tito alimdhihaki MUNGU, Kwa kujiita ye MUNGU na yesu ni mwanae
Ingekuwa hiyo ndiyo sababu basi zumaridu naye angeshajufa
 
Sio kweli yupo central na juzi Taarifa zilitoka ameshikiriwa na jeshi la polisi
 
kwa kifupi huyo nabii Tito ni nani, hapa Tanganyika
Ni mwendawazimu mmoja, ambaye badala ya POLICE TZ kumkamata na kumweka jela na kumtesa, walipaswa wampeleke hospitali ya vichaa ambayo ipo MIREMBE au kumpeleka nje ya nchi akatibiwe. Hivi police ninyi mna akili kweli? Mnamkamata mwendawazimu halafu mnampeleka jela mnaende kumtesa mtu ambaye hazimtoshi. Mnapenda kutesa na kuua.
 
Ile video yake mpaka unashindwa kushangaaa...
Ila kwa ile stage aliyopo ni mental case ile..
Kwa nchi zingine straight rehab....
Yule ni kichaa na kichaa chake hakijaanza leo ni muda tuu mbona huwa anapayuka maneno ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…