hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hatari sanaKuna vitu vinauma gademit
Hakikisha wanaokuzunguka hawakuzunguki
Hatari sanaKuna vitu vinauma gademit
Hakikisha wanaokuzunguka hawakuzunguki
Huwenda Ali notes so baada ya ku-notes akapitia msongo wa mawazo wa muda mrefu , mwisho wa siku akaamua kufanya Hilo tukioMbona inasemekana ana karibu 7 months hivi tangu arudi Bongo kipindi chote hiko hakunotice kuwa hela zake kapigwa? mpaka tukio aje afanye leo
Au sio, kwahiyo alienda Sauzi akiwa na miaka 14!?Comment ya mdau: 👇👇👇👇
mimi nipo mwananyamala ambapo limetokea ilo tatizo inasemekana jamaa alikuwa yupo south afrika kwa zaidi ya miaka 10 na alikuwa anatuma ela ili mzee wake amjengee ila cha kushangaza amerudi hakuna ata mahala palipojengwa wala ata uwanja ujanunuliwa ndipo alipoamua kuwapiga mapanga baba yake mzazi na baba yake mdogo
😄Jambo jema bora tukose wote.
Ukichanganya na bangi wanazovuta vijana siku hizi anawaona kama amaeuwa kuku tuHiyo siyo justification ya kuua wazazi wako
Siyo kila mmoja anaamua kwa busara inapokuja ishu ya vyake kuliwa,kingine mkuu ungekuwa umeliwa kweli mabillion achilia mbali malaki kwa life hili la Bongo sahizi ungekuwa majalalani umeshadata hapo umeamua tu uchekeshedogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
Mik mitano tuu marehemu wakisahaulika jama anachiwa free hamta amini...Msela mavi kutoka kaburu,karudishwa na dege la umoja kufika bongo kaona usela mavi dili🤣🤣🤣🤣🤣
Bamdogo na dingi yake wamemuweka sawa akaona sio powaa akaleta usela mavi wa South africa wa kuwapiga mapanga na kuwaua kasahau kwamba bongo sio kaburu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yule wamembeba sasa hivi anajuta analia na kugalagala kwa serikali ya bongo anapotea mazima akitoka gerezani basi ni kabirini tuu🤣🤣🤣🤣
Alikuwa anadhani yupo dizonga kwamba ukiua miezi 6 ndani miezi 6 upo nnje🤣🤣
Huu usela mavi na tabia za kuiga wanangu mtapotea siku hizi kila msela mavi na machafuchafu wana MAPENGO 🤣🤣🤣
Siku hizi kuwa msela mavi lazima uwe na MAPENGO AU PENGO kama huna hayo basi lazima uwe na ile MIMENO FAKE YA GOLD AU SILVER🤣.
Wanangu tutafuteni pesa na tuzingatie home pia heshima na kuheshimu kila mtu ni kitu muhimu sanaaaa kwenye maisha yetu ya kila siku kuna leo na kesho hakuna anayejua kesho yake🤣.
Comment ya mdau wa Mwananyamala👇👇👇👇
mimi nipo mwananyamala ambapo limetokea ilo tatizo inasemekana jamaa alikuwa yupo south afrika kwa zaidi ya miaka 10 na alikuwa anatuma ela ili mzee wake amjengee ila cha kushangaza amerudi hakuna ata mahala palipojengwa wala ata uwanja ujanunuliwa ndipo alipoamua kuwapiga mapanga baba yake mzazi na baba yake mdogo
credit : FBView attachment 3632017
Wawili Mochwari mmoja Jela, wote malengo ya serikali.Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.
Sasa mjuba inasemekana alikuwa akipata gigs basi anatuma Bongo hili Baba zake wamnunulie kiwanja mixture kumsaidia ujenzi. Kumbe wale wazee wanazitafuna tu kibingwa, kama unavyojua Baba mzazi ana miaka 48 na Baba mdogo 37 hivyo bado nguvu za kitafuna maisha wanazo.
Hapa katikati ikatokea vurugu za Xenophobia huko Afrika Kusini, raia wa Kiafrika ambao ni wageni wakaanza kufukuzwa kurudi kwenye nchi zao. Dogo janja nae akarudi Bongo huku akiwa anamategemeo kukuta Baba zake wamemfanyia maendeleo. Anafika home anakuta chenga, anauliza pesa wapi au maendeleo wapi, anapigwa Kiswahili.
Dogo akaona hii miyeyusho, stress zikaanza kuwa nyingi ukiangalia umerudi Bongo bila chochote ukitegemea kukuta pesa zako zimekujengea nyumba na kuleta maendeleo. Ukijumuisha na kurudi Bongo na kuanza moja bila kazi basi dogo akadata zaidi. Ndio akapiga lile tukio.
Mimi nimeelewa kama kweli ni story ya kweliJamaa Kuna mda unamuelewa hivi, japo amevuka speed limit
Hta mm ningeenda jela tu, potelea mbaliH Nmeona pia.
Kudadeki mm mwnyw nngepita hv na roho zao
Kobazi hamna akili hawa, Nyumba za Urith Baba anagombana na mjukuu naye humo humoKuhusu chanzo cha tukio hilo, Mwanahamisi amesema bado hawana majibu ya uhakika. Hata hivyo, amesema kabla ya tukio Hosamu alikuwa akidai nyumba hiyo ni urithi alioachiwa na babu yake na kutaka kuishi humo pamoja na mpenzi wake.
Mambo ya kulealea ujinga yafike mwishoHta mm ningeenda jela tu, potelea mbali
Bilioni? Wewe kwako ni ndogo, Mwingine amehustle kuzipatadogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
Sometimes binadam wanasababisha watu wawe wanyamaMwingine huku kwetu kamwambia mama yake Wasijuane, akifa mama yake asimzike na yeye mama yake akifa atoenda msibani.
Alikua Oman anafanya kazi za ndani anamtumia mama yake hela amjengee nyumba ila mama yake akawa anakula tu.
Bilioni? Wewe kwako ni ndogo, Mwingine amedogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
Anakula timing Mzee kuwapatia wote wawiliMbona inasemekana ana karibu 7 months hivi tangu arudi Bongo kipindi chote hiko hakunotice kuwa hela zake kapigwa? mpaka tukio aje afanye leo
Kuna muda wazazi muwe na huruma na watoto wenu…sifurahii but maamuzi yake yanaweza fanywa na yeyote.Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.