Msela mavi kutoka kaburu,karudishwa na dege la umoja kufika bongo kaona usela mavi dili🤣🤣🤣🤣🤣
Bamdogo na dingi yake wamemuweka sawa akaona sio powaa akaleta usela mavi wa South africa wa kuwapiga mapanga na kuwaua kasahau kwamba bongo sio kaburu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yule wamembeba sasa hivi anajuta analia na kugalagala kwa serikali ya bongo anapotea mazima akitoka gerezani basi ni kabirini tuu🤣🤣🤣🤣
Alikuwa anadhani yupo dizonga kwamba ukiua miezi 6 ndani miezi 6 upo nnje🤣🤣
Huu usela mavi na tabia za kuiga wanangu mtapotea siku hizi kila msela mavi na machafuchafu wana MAPENGO 🤣🤣🤣
Siku hizi kuwa msela mavi lazima uwe na MAPENGO AU PENGO kama huna hayo basi lazima uwe na ile MIMENO FAKE YA GOLD AU SILVER🤣.
Wanangu tutafuteni pesa na tuzingatie home pia heshima na kuheshimu kila mtu ni kitu muhimu sanaaaa kwenye maisha yetu ya kila siku kuna leo na kesho hakuna anayejua kesho yake🤣.
Comment ya mdau wa Mwananyamala👇👇👇👇
mimi nipo mwananyamala ambapo limetokea ilo tatizo inasemekana jamaa alikuwa yupo south afrika kwa zaidi ya miaka 10 na alikuwa anatuma ela ili mzee wake amjengee ila cha kushangaza amerudi hakuna ata mahala palipojengwa wala ata uwanja ujanunuliwa ndipo alipoamua kuwapiga mapanga baba yake mzazi na baba yake mdogo
credit : FB
View attachment 3632017