Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.
Sasa mjuba inasemekana alikuwa akipata gigs basi anatuma Bongo hili Baba zake wamnunulie kiwanja mixture kumsaidia ujenzi. Kumbe wale wazee wanazitafuna tu kibingwa, kama unavyojua Baba mzazi ana miaka 48 na Baba mdogo 37 hivyo bado nguvu za kitafuna maisha wanazo.
Hapa katikati ikatokea vurugu za Xenophobia huko Afrika Kusini, raia wa Kiafrika ambao ni wageni wakaanza kufukuzwa kurudi kwenye nchi zao. Dogo janja nae akarudi Bongo huku akiwa anamategemeo kukuta Baba zake wamemfanyia maendeleo. Anafika home anakuta chenga, anauliza pesa wapi au maendeleo wapi, anapigwa Kiswahili.
Dogo akaona hii miyeyusho, stress zikaanza kuwa nyingi ukiangalia umerudi Bongo bila chochote ukitegemea kukuta pesa zako zimekujengea nyumba na kuleta maendeleo. Ukijumuisha na kurudi Bongo na kuanza moja bila kazi basi dogo akadata zaidi. Ndio akapiga lile tukio.