Hizi sura lazima zionekane kwenye baraza la mawaziri lijalo

Makonda atakuwa waziri wa Nchi ofisi ya Rais au waziri wa mambo ya ndani
 
Binafsi ningependa uchaguzi uwe huru na haki, lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura, na kuna uwezekano mkubwa wakawemo kwenye baraza la mawaziri lijalo, Hawa ni baadhi yao.

1. Makonda - Huyu ana nafasi kubwa ya kuwa waziri wa mambo ya ndani au ulinzi
2. Mnyeti
3. Mwanri
4. Gambo
5.Mtaka - Huyu lazima atachukua fomu hivi karibuni
6.Tulia - Huyu kama asipopewa waziri wa sheria, anaweza kuwa spika au naibu spika akijiandaa kuwa spika ajaye baada ya 2025, nae atatangazwa mshindi hata kama atashindwa kwenye sanduku la kura.

7. RC wa kigoma - huyu nae anaweza kuwa waziri wa ulinzi au mambo ya ndani

8.................................
9.................................
10.....................................
11........................................

Tuendeleee, kuwaorodhesha...., Kumbuka.

Baraza la mawaziri lijalo zitaonekana sura za wapendwa wa mkubwa tu, hili lililopita hakuwa na jinsi maana wabunge wengi aliwarithi hivyo alilazimika kuwachagua haohao na ilipobidi aliteua nje kwa mujibu wa sheria aliyopewa ya kuteua wabunge kumi.
Musiba
 
MAKONDA ATAPEWA WIZARA YA MICHEZO NA WASANII TU
 
Huu uhuni uliousema

lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura

Ndio ingefaa uuufungulie uzi tuulani na kuukema, yaani unataka watu wazima tuje tuchangie uzi uliobebwa na uhuni kama huu
 
mzee unadhani hata nikiufungulia uzi huo uhuni kuna kitu kitabadilika?
 
Mawaziri wa ccm wanajulikana hata kabla ya uchaguzi.lakini upinza hata haijulikani mawaziri wao watakuwa akina nani wakishachukua nchi?.kama wenyewe wanavyoamini watapindua meza.
 
Back
Top Bottom