INAUZWA Hizi taa za ndani 3d naziuza bei ya ofa huwezi pata popote kwa bei hii

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,397
Habari wakuu
nimekuja na ofa ya hizi taa zikiwaka zinaonyesha sign ya piano

Watu wote wanaweza kutumia
1. Kama unafanya kazi usiku na huhitaji mwanga mkali hii itakufaa sana
2. Kama unapenda kuangalia tv na mwanga wa taa huwa unazingua hii itakufaa sana
3. Usiku chumbani kwako hutaki mwanga mkali unataka mwanga hafifu unaofurahisha hii hapa itakufaa sana
4. Nzuri kwa zawadi kwa yule umpendae

Unaweza ukachomeka sehem yeyote ynye port ya usb na inawaka hapa namaanisha kwenye laptop, radio, tv au kichwa cha chaji

Size
BASE ¢100 H 40MM
VOLTAGE 85V -265V
Light guide plate😛iexiglass

Bei ni 10,000 kila moja
Piga 068893663

20211022_170930.jpg

Update
Tunatengeneza hizo picha kwa order leta picha na maneno unayotaka yawepo kwenye picha yako View attachment 2213667View attachment 2213668View attachment 2213669

Angalia kazi zetu hapa chini
View attachment 2213696View attachment 2213695View attachment 2213699View attachment 2213701View attachment 2213697View attachment 2213698View attachment 2213700View attachment 2213702
 
Habari wakuu
nimekuja na ofa ya hizi taa zikiwaka zinaonyesha sign ya piano

Watu wote wanaweza kutumia
1. Kama unafanya kazi usiku na huhitaji mwanga mkali hii itakufaa sana
2. Kama unapenda kuangalia tv na mwanga wa taa huwa unazingua hii itakufaa sana
3. Usiku chumbani kwako hutaki mwanga mkali unataka mwanga hafifu unaofurahisha hii hapa itakufaa sana
4. Nzuri kwa zawadi kwa yule umpendae

Unaweza ukachomeka sehem yeyote ynye port ya usb na inawaka hapa namaanisha kwenye laptop, radio, tv au kichwa cha chaji

Size
BASE ¢100 H 40MM
VOLTAGE 85V -265V
Light guide plate😛iexiglass

Bei ni 10,000 kila moja
Piga 068893663
View attachment 2151303View attachment 2151304View attachment 2151305View attachment 2151306
Mkuu jitahidi uweke namba inayopatikana hapa Tz.
 
Kwanini huwa wavivu kutangaza bei ? Hii inaleta changamoto Kwa wateja wakitanzania wasio penda konakona
 
Habari wakuu
nimekuja na ofa ya hizi taa zikiwaka zinaonyesha sign ya piano

Watu wote wanaweza kutumia
1. Kama unafanya kazi usiku na huhitaji mwanga mkali hii itakufaa sana
2. Kama unapenda kuangalia tv na mwanga wa taa huwa unazingua hii itakufaa sana
3. Usiku chumbani kwako hutaki mwanga mkali unataka mwanga hafifu unaofurahisha hii hapa itakufaa sana
4. Nzuri kwa zawadi kwa yule umpendae

Unaweza ukachomeka sehem yeyote ynye port ya usb na inawaka hapa namaanisha kwenye laptop, radio, tv au kichwa cha chaji

Size
BASE ¢100 H 40MM
VOLTAGE 85V -265V
Light guide plate😛iexiglass

Bei ni 10,000 kila moja
Piga 068893663
View attachment 2151303View attachment 2151304View attachment 2151305View attachment 2151306
Nitajie model ya hio Taa plz mkuu ma jina lake halisi kama hutojali
 
Aiseee nzuri lazima uwakamate wengi me situmi hela nikija dar ndo nitakutafuta tufanye biashara..10000 Bei ndogo Sana NI Bei mandazi...nakushauri uza 20000 tukanyagie tu
 
Back
Top Bottom