INAUZWA Hizi taa za ndani 3d naziuza bei ya ofa huwezi pata popote kwa bei hii

INAUZWA Hizi taa za ndani 3d naziuza bei ya ofa huwezi pata popote kwa bei hii

Mkuu picha ni aina hyo hyo moja? Maana hua naona zina image tofautitofauti, mfano kopa, picha ya mtu/watu, n.k mfano hapo naona km cjui ni piano
 
Mkuu ukileta za design ingine isio piano nicheki mkuu[emoji28]
Mkuu karibu nikutengenezee kile unachotaka kukiona
20220402_154938.jpg
 
Sasa hivi namkula shemeji yenu kwenye mwanga hafifu sana
JPEG_20220507_060911_5644679539446006240.jpg
 
Back
Top Bottom