Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
20211027_174707.jpg


Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje?

Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli.

Wazulu jamani mtakuja kuniua.
 
Wewe unaona hivyo kwasababu hujazoea.ukishazoea kuwaona utaona kawaida tu.
 
Sio tamaduni za wazulu sema tamaduni za waafrika weusi. Kwani kabla ya ujio wa waarabu na wazungu watu weusi uchi walichukulia ni kuwa wazi sehem gani ya mwili?

Wao hawataki kuacha asili yao na sio wazulu pekee kuna makabira mengine huko kusini nayo yana hio tamaduni.
 
Hv hapa Tanzania kuna kabila ambalo lina utamaduni kama huu?
 
Back
Top Bottom