Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

Wewe unaona hivyo kwasababu hujazoea.ukishazoea kuwaona utaona kawaida tu.
 
Sio tamaduni za wazulu sema tamaduni za waafrika weusi. Kwani kabla ya ujio wa waarabu na wazungu watu weusi uchi walichukulia ni kuwa wazi sehem gani ya mwili?

Wao hawataki kuacha asili yao na sio wazulu pekee kuna makabira mengine huko kusini nayo yana hio tamaduni.
 
Hv hapa Tanzania kuna kabila ambalo lina utamaduni kama huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…