Hizi tetesi za Bruno Gomez kumalizana na yanga ni sahihi?

Ushasema tetesi,nani anajua kama ni sahihi sasa?
 
Yule jamaa aliesema hajawahi kuwa serious labda angesema Salama au Michael Ihera sawa
 
Ila kama itakuwa kweli, basi atalazimika kuongeza fitness ya mwili wake. Maana dogo ana umayai kama ule wa Fei Toto wakati anatoka JKU. Kipaji kikubwa, halafu laini laini.
Tete unajua sana mpira aisee binafsi sijamkubali kabisa yule jamaa
 
Yaani Nkane acheze Bruno ashindwe?
Nkane kinachombeba ni spidi na ujanja ujanja wa uwanjani. Kwa bahati mbaya huyo Bruno hana. Ina ninakubali ana kipaji kikubwa cha kucheza soka.
 
Nkane kinachombeba ni spidi na ujanja ujanja wa uwanjani. Kwa bahati mbaya huyo Bruno hana. Ina ninakubali ana kipaji kikubwa cha kucheza soka.
Singida timu mpya wachezaji wote wamekutana mara ya kwanza anafunga goli 8 na assist za kutosha katika msimu wa kwanza una doubt nae? Bruno ni zaidi ya Aziz Ki,
 
Ila kama itakuwa kweli, basi atalazimika kuongeza fitness ya mwili wake. Maana dogo ana umayai kama ule wa Fei Toto wakati anatoka JKU. Kipaji kikubwa, halafu laini laini.
Ni kweli mzee mwenzangu, dogo ana ulaini ulaini ila kipaji kipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…