Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kalinyos aliyechangamka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carlinhos kacheza mechi 9 kafunga goli 4 tatu za ligi moja FA assist 6 unaweza sema ni mbovu? Mpira sio mieleka Ngasa alikua na nguvu gani?Kalinyos aliyechangamka.
Atajuana mwenyewe na wakina Asukile na Afande El Fadhil.Carlinhos kacheza mechi 9 kafunga goli 4 tatu za ligi moja FA assist 6 unaweza sema ni mbovu? Mpira sio mieleka Ngasa alikua na nguvu gani?
Kajifunze mpira, huyo Asukile na nguvu zake kila mwaka anapambana asishuke daraja ingekua mpira ni nguvu si wangekua Mabingwa!Atajuana mwenyewe na wakina Asukile na Afande El Fadhil.
watajuana wakikutana uwanja wa Manungu shamba la miwa likageuzwa uwanja wa mpira.Kajifunze mpira, huyo Asukile na nguvu zake kila mwaka anapambana asishuke daraja ingekua mpira ni nguvu si wangekua Mabingwa!
Sasa Bruno ana kipi cha kushindwa ambacho Nkane kawezaa??Nkane kinachombeba ni spidi na ujanja ujanja wa uwanjani. Kwa bahati mbaya huyo Bruno hana. Ina ninakubali ana kipaji kikubwa cha kucheza soka.
Hivi ni sahihi kweli kumlinganisha mchezaji mdogo na chipukizi kama Dennis Nkane na Bruno Gomes, mchezaji aliyeotoka kwao Brazil kuja kutafuta maisha Bongo kama professional player!! Kweli?Sasa Bruno ana kipi cha kushindwa ambacho Nkane kawezaa??