Hizi tetesi za Bruno Gomez kumalizana na yanga ni sahihi?

Nkane kinachombeba ni spidi na ujanja ujanja wa uwanjani. Kwa bahati mbaya huyo Bruno hana. Ina ninakubali ana kipaji kikubwa cha kucheza soka.
Sasa Bruno ana kipi cha kushindwa ambacho Nkane kawezaa??
 
Sasa Bruno ana kipi cha kushindwa ambacho Nkane kawezaa??
Hivi ni sahihi kweli kumlinganisha mchezaji mdogo na chipukizi kama Dennis Nkane na Bruno Gomes, mchezaji aliyeotoka kwao Brazil kuja kutafuta maisha Bongo kama professional player!! Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…