Hizi tetesi za wizara ya Afya mbna zinatuvunja moyo sana!.

Trust ME

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
77
Reaction score
6
Wakuu ni mda unakwenda tu hakuna replay yeyote kutoka MOH na ukifuatilia tunazidi tu kutiana moyo tu wa tetesi kila siku . Hivi kwenye application form si walisema date ya kuinngia vyuoni kwene 1 wa kumi sa leo tar 25 ambayo ndiyo tulikuwa tukiisubiri lakini bado . Swali ni je hizi tetesi zinaukweli au ni mwendo wa ABUNUASI tu . Mpaka j2 kama kimya mi naenda tu jeshi hata nitupwe huko Sudan nikapambane na waasi tu lool!
 
Tena fanya kuwahi jeshi maana hawa wizara ya afya hawana mipango
 
Wakuu mi niliomba diploma ya dental therapy..vipi competition yake ni sawa na ya clinical officer?
 
Lets wait ila kunak2 nimeshndwa kufungua pande za moh kama cm yako inafungua fanya hvyo kwa ukumbusho wangu
 
wakuu naomba, munisaidie lini hawa watu wa afya watatoa majina ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…