Wakuu ni mda unakwenda tu hakuna replay yeyote kutoka MOH na ukifuatilia tunazidi tu kutiana moyo tu wa tetesi kila siku . Hivi kwenye application form si walisema date ya kuinngia vyuoni kwene 1 wa kumi sa leo tar 25 ambayo ndiyo tulikuwa tukiisubiri lakini bado . Swali ni je hizi tetesi zinaukweli au ni mwendo wa ABUNUASI tu . Mpaka j2 kama kimya mi naenda tu jeshi hata nitupwe huko Sudan nikapambane na waasi tu lool!