Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Yaani Tuhuma wewe ndio unaziongelea? Umeanza mambo ya Tenda, unajua Tenda wewe? Acha kujiweke mbelembele Kama mkojo wa asubuhi.
 
Tunakemea huu ujinga msije kutuletea kama ya Libya,bora mfyekwe nyie wachache makuwadi kuliko nchi kutumbukia kwenye ghasia
 
Nliona nyumba ya Kabendera kupitia VOA nikawaza sana kwamba hivi waandishi wote wa Habari wa Tz wana maisha kama haya ya Kabendera? Au yeye ana biashara gani nyingine nje ya taaluma yake?

Kiukweli huyu jamaa kuna kitu nyuma ya pazia
Kanasa "leka tumueleke ombazi"
 
mimi ni mgeni hapa ila naomba unisaidie uhakika wa kile unachokiongea ni nini?
Yaani A imeanzaje B imekuaje hadi Z?
Kwa haraka haraka nikwamba kama umeweza kuyajua haya ni ishara na ushahidi tocha xhain nzima unaijua sasa wengine wanaohusika wako wapi?

wanaoshinda mtandaoni kwa fedha za kupitia kwa akina kabendera ni akina nani? na yapi wameyasema ni yauongo? kwanini hawakamatwi wakati mambo mmeyajua?

Binadamu tuko hivi huwa tunaongea lile tunaloliona ukileta la nyuma ya pazia unapaswa ku;eta picha kamili iliyokuwa imefichika ili watu wasiwe na maswali
vipi ukashindwa kuyathibitisha hayo na ukaonekana niwalewale tu wa kuwakandamiza wananchi?
Vip ukaonekana unampaka tope ili azidi kuonekana mbaya na watanzania wasipaze sauti juu ya kumsaidia?


NImeandika haya kutokana na hoja uliyoandika hapa, siijui siasa siijui sheria ila kama maswali yangu yana uzito naomba uweze kunijibu tu,
Nikiwa mdogo nilikuwa naambiwa sana na mama usimwambie aliyechomwa na mwiba anyamaze kulia juu ya maumivu yake sababu wewe umevunjika mguu,
Maana kila mtu humia kwa maumivu yake,

Naamini hakuna serikali iliyo mbaya ila watu wabaya ndio huja kwa mgongo wa serikali kufanya ubaya, ndio maana kila mtu ataugulia maumivu yake yeye mwenyewe
 
Hizi posho mbona mimi sijawahi kukutana nazo jamani, zilikuwa ninatolewa wapi?
 
Muandishi kutegemea na source anaweza kuwa na point kwa kusoma kati ya mistari nini kaonesha.

Pitia hapa namna twitter iligundua nini China anafaanya nyuma ya mitandao kupenyeza agenda yake.


njia na msukomo wa kutaka Eric awe huru unajiuliza ni kwanini same pressure haijawahi kutokea kwa mambo mengine ambayo yanakikuka haki za binadamu likiwemo la wakazi wa Tarime kupata athari za sumu katika mto tigite na watu kubabuka Ngozi, Wanyama kubabuka Ngozi na baadhi kufa…

why there was so much pressure. Wakati utasema.

Twaweza kutofautiana sana kwa hoja. Ila "Mama" Tanzania ni mkubwa kuliko sisi sote… pitia mtazamo wangu pia kuhusu Eric

 
Umejiunga JF ili uandike umbea na upumbavu!
 
Umejiunga JF ili uandike umbea na upumbavu!
 
Ninyi watu mbona hamueleweki? Mleta Uzi ni DCI, polisi au jaji?
Shauri lipo mahakamani tayar, kisha unaandika tuuuuuu bila kujali athari za maamuzi ya mahakama kutokutosheleza baada ya kuwa corrupted na maandishi yenu haya!
Jifunzeni kuwa kesi ikishatajwa huna sababu ya kuongea na kuandika kwani utamislead judgment! Kama Una taarifa zaidi wapelekee wajenga hoja yaani polisi!
Umepotosha mno kwa sababu za kibinafsi na huenda nawe unalipwa ili kuhalalisha mission lengwa iliyoshtukiwa! Mungu yupo macho na anakuoneni!
 
Unazuwia mtu kutumia uhuru wake wa kutoa maoni?
Mahakama na vyombo vya upelelezi lazima visaidiwe kufanya kazi zake ,havilazimishwi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni
 
Unazuwia mtu kutumia uhuru wake wa kutoa maoni?
Mahakama na vyombo vya upelelezi lazima visaidiwe kufanya kazi zake ,havilazimishwi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni
Kama ndivyo, ile sheria inayobana yeyote kujadili shauri lililopo mahakamani inamlenga nani?
 
Mbona mliihukumu serikali na Makonda kuhusu issue ya Lissu badala ya kuiachia mahakama? Unajitambua kweli?.au wewe ni mpumbavu wahed?
 
Mbona mliihukumu serikali na Makonda kuhusu issue ya Lissu badala ya kuiachia mahakama? Unajitambua kweli?.au wewe ni mpumbavu wahed?
Ama kweli ukiishiwa weledi na utambuzi lazima ujishikilie kwenye matusi na lugha isiyo na staha! Kajifunze kujiheshimu na jinsi ya kujitambua kwanza kabla ya kujibizana nami! Serikali na makonda kwako no mahakama siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…