Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Kama umetumwa basi kawaambie hatuja shawishika mana tunaakili sio kama wanavyo tufikiria.
Magereza na vyombo vya sola vyote awamu hii vinakazi moja, yaani vijuu yawale wote au kitendo chochote cha kumkosoa Raisi kuliko usalama na ustawi wa wananchi wake. Sisi tunajua kuwa Magu akihisi kuwa wewe ni hatari kwa uraisi wake ( hatakama hatari hii ni ndani ya sheria za nchi) atatumia vyombo vyetu vya dola kuku angamiza kwa maslahi yake binafsi katika kutawala kimabavu.
Kinacho sikitisha ni kuona anataka kutuhusisha wananchi kwa kusingizia kuwa mtu huyo ni hatari kwa taifa. Sio marayakwanza wakosoaji wake na serikali yake, kuwasingizia kuwa wanaitukana nchi na watanzania wake, wakati ukweli yeye ndo mlengwa, anatujumuisha wote ili tumtetee bila kujua.
 
Rubbish, nimeishia pale anaposema Kabendera alilipwa 200m kila mwezi. Pumbavu kabisa
 
Kamwambia Kabendera haya maneno yako, alafu pia mwambie mtaenda kumtoa soon! Nyie si wapenda ukweli?
 
Mabeberu sio watu, ni vema serikali iwekeze kwenye tafiti juu ya mbinu zitumiwazo na mabeberu ku distabilise mataifa machanga. Hilo likifanyika tutajua mbinu za kapambana na kuwazuia. R I P Patrice Lumumba nawengine Kama Nkuruma etc
Huyu pimbi usimlinganishe na Patrice na Nkruma. Huyu takataka tu.
 
Hebu think logically rais apotezewe imani na kabendera? Rais kajipotezea imani mwenyewe kwa vitendo vyake. Kama alikuwa hajui ajue kuwavunjia watu nyumba zao, kuwafukuza watu kazi kwa uonezi, kushindwa kuajiri, kushindwa kupandisha mishahara, kushindwa kuwalipa wastaafu, kula rambirambi za kagera, kuvuruga uchumi, kuharibu mzunguko wa fedha, kuwafungulia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha za uonezi, kushindwa kutekeleza ilani ya chama chake ccm alitumwa na Kabendera?
 
Joined Aug 18 2019 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. MWENZETU UMEWEZAJE KUONA NYUMA YA PAZIA KINYUME NA WENGI UNAOWASEMA?
2. JE, MUNGU ALIYE MLINZI WA KWELI ANAWAJIBIKA KUWALINDA WATU WA AINA GANI NA KINA NANI HAWASTAHILI ULINZI HUO?
3. UNAWEZAJE KUTUAMINISHA KAMA KAFANYA HAYO UNAYODAI, BILA YA KUMPA NAFASI NAYE AELEZE UPANDE WAKE ILI KUSIWE NA MLENGO MASLAHI?
4. KESI IPO MAHAKAMANI, TUSUBIRI MAHAKAMA IAMUE, USIWALISHE MAAMUZI MAJAJI.

Yehova ni Mungu wa Wote.
 
Unajua maana ya uzalendo!?
 
I say, CCM wako desparate sijawahi kuona!

Sasa mbona uraia hujaongelea? Nao ni mabeberu walimpa? Na kwa nini basi toka mwazno wasitaje kosa lake bali hadi wapekue simu yake ndio waone kosa la kutakatisha fedha?

Kuna watu ndani ya kichwa kuko hollow

Consipracy theory kila siku.
 
Kuna wakati natamani niandike MITUSI mizito kuwatusi wale woote wasioelewa siasa za ulimwengu zinavyokwenda

Wasioelewa kwamba hata siku moja mataifa ya magharibi hayajawahi kulitakia mema taifa lolote la Afrika

Mijitu hii ielewe pia kwamba waamerika wamo kwenye mkakati mzito kuhakikisha black population inamalizika Amerika

Mizwazwa hii ya kibongo ielewe pia kwamba na kwa ithibitisho kua Janga la ukimwi na majanga mengine ni laboratory planted kuiua minyani mweusi

Mizwazwa hii ya kibongo ijue kinachoendelea mataifa ya kiarabu kua ni mkakati kabambe unaosukwa Washington Dc na kuitumia mizwazwa mizawa ya nchi zao kuchinjana yenyewe

Ni mtindio huu wa ubongo wa mishkaj isiyoelewa toka Afrika ndio uliosababisha tunatawaliwa na wazungu

Wameshamaliza kututawala kwa nguvu...... sasa wamezikamata akili zetu wanazikatikia wapendavyo........


Aaaghhhhhhhhhhhhh!
 
Nadhani ungeweka wazi hizi kampuni na baadhi washirika wake,ila kwahili bandiko lako ningumu kuaminika
 
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,wewe umesoma hujaekewa,jitahidi uilewe content nzima kabla ya kukomenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…