Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini


Kaka kuna matundu kadhaa kwenye story yako. Utatatishaji wa Kabendera kwentye kipindi kinachoogelewa miaka miwili na nusu au zaidi kidogo. Ni total ya Mil kama 187 hivi kwa kipindi chote nasisitiza. Hapo ume toa figure ya $95,000 kwa mwezi ndizo ali launder. Tuanzae hesabu: $95,000 mara 12 ni $1,140,000 na mara 2.5 ni $2,850,000. Kwa shilingi ni bilioni 6,495,000,000 kwa hiyo wahusika wote wa mashitakawalishindwa kufanya hii heasbu?
Kama ndivyokwanini mashitaka yalibadilika mara nne? Mimi sikataimoja kwa moja unachosema lakini ukiangaliakwapicha pana bado maswali ni mengi kuamini hoja yako.
 
... Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ Yataelezwa mambo makuu mawili said:
UMESOMEKA. HATA HIVYO MBONA UMEISHIA KUELEZA JAMBO MOJA TUU, YAANI UTAKASISHAJI WA FEDHA. HILO LA URAIA IMEKUWAJE???
 
Kwanza mleta Mada nakubali pasi na shaka hujui kutofautisha 'R" na 'L'(ELIMU =0) Pili umewaongelea watu wawili tofauti Kabendera na Kibendera. ONYO: Acha umbea na Upambe Jela utafanywa mke wa NYAPARA kwa Tabia hizi zako.
 
Kwanza mleta Mada nakubali pasi na shaka hujui kutofautisha 'R" na 'L'(ELIMU =0) Pili umewaongelea watu wawili tofauti Kabendera na Kibendera. ONYO: Acha umbea na Upambe Jela utafanywa mke wa NYAPARA kwa Tabia hizi zako.
Jikite kwenye content acha ufala ,wenzako wanapiga ndefu wewe za vocha
 
Mkuu huu ukweli kwa bahati mbaya sana tunauona wachache.

Hapa wengine sababu ya ajira, kuongopewa chamani n.k hujikuta wanafurahia na kuunga mkono watu wanao hujumu nchi yetu.

Awamu ya 4 niliomba sana tupate kiongozi mkali sana kiwango cha udikteta lakini anajali maslahi ya nchi. Anae chukia ubadhirifu na uzembe.

Hatimae tumempata sasa, naona sala zangu zimesikilizwa nimefurahi bila kujali hali yangu kiuchumi awamu hii maana nimepata nilichoomba kwa Mungu.
 
Andishi lako limekaa kimajungujungu, actually ni andishi la kijinga!
 
Huu ujinga wako wapelekee wajinga wenzio huko
 
Kwa mada hii ya kilofa huwezi kupata BUKU 7.
Nyie vipofu wa Lumumba mnasababisha saver za Jf kujaza uchafu kama huu

Kuna kikosi maalum kimeletwa mitandaoni chenye job description mpya kabisa. Lumumba walikuwa wanapigania chama; hawa ni tofauti kabisa. Nadhani Lumumba hawaaminiki tena kwani wengi wao waliajiriwa wakati wa Makatibu wakuu wanaotakiwa kuwa 'purged'.
 
Andiko lako limejaa mahaba tu,hata wewe huenda unakula hizo posho kwa hiki ulichokiandika,utawala huu hatuna wa kumuamini...
 
Kama kuna kitu kinanishangaza katika nchi hii sasa ni huu msamiati wa "kumkwamisha rais". How on earth mtu mdogo kama maandishi wa habari anaweza kufanya hivyo? Serikali gani inaweza kukwamishwa na maneno au maandiko ya mtu mmoja?. Labda kama hiyo serikali ni mtu mmoja!
 
Pumbavu kweli wewe, sasa Kabendera yuko jela, Magufuli "hatukanwi" kama unavyodai?

Halaf nikukumbushe tu, hao Polisi wa Magufuli wana mashtaka ya uongo ya utakatishaji fedha ya Tshs. Mil. 173 dhidi ya Kabendera kwa miaka yote mitano tangu dikteta Magufuli anyakue madaraka ya serikali, wewe hizo Mil. 200 unazodai umezitoa wapi?
 
kusuka maneno si kazi ndugu,weka data/viambatanishi mezan
 

Tena humu mitandaoni wanaoiandika serikali vizuri ndio wengi!
 

..uliombea ukatili na utekaji?

..uliombea udhalilishaji kwa viongozi na wafuasi ya vyama mbadala?

..uliombea ukosefu wa ajira, na kuporomoka kwa vipato[income] vya wananchi?

..uliombea bunge lililodhibitiwa na serekali, na wabunge wanaosifia muda wote badala ya kuisimamia serekali?

..uliombea wafuasi, wabunge, na madiwani, wa vyama mbadala wadhalilishwe, waandamwe, na kufunguliwa mashtaka ya kubambikiwa?

..uliombea serekali isiyoheshimu amri za mahakama?

..uliombea jeshi la polisi na vyombo vya usalama vitumiwe kisiasa na chama tawala?

..uliombea mnadhimu wa kambi ya upinzani acharangwe marisasi, na polisi wasifanye uchunguzi, anyimwe matibabu, na viongozi wa serekali na wabunge wa ccm wamkejeli?
 
Wakimalizana na Kabendera itakua zamu yenu.
Hiki kikombe lazima kila mtu kimfikie.
Muulize nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…