Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Wakimalizana na Kabendera itakua zamu yenu.
Hiki kikombe lazima kila mtu kimfikie.
Muulize nape
Ofukozi kikombe hakiangalii aina ya wahalifu kwa maana ya wasaliti ,uwe ccm,uwe chadema ,uwe chama chochote cha siasa au ndani ya serikali ,utakinywa tu hakuna sehemu ya kujificha,
 
Tatizo ni unafiki wa serikali kutokua kua wawazi. Kama ni hivyo iweje akamatwe kwa kuviziwa?

Kwa nini wasiwe na tuhuma zilizo wazi? ,mara uraia,mara uchochezi na hatimae utakatishaji fedha.

Kwanini mara zote swala la uraia iwe fimbo ya kuwachapia wanao kinzana na serikali. ? . urodha iko ndefuuu ukianzia na kakobe, bashe,nondo, Salim ahamed salimu. ....

Yote hayo yanadhihirisha nia yao ovu.
 
Mkuu mimi sitaki kuwa muongo na mnafiki.
Ukweli ni kuwa nilisali kabisa na kuomba raisi mkali na mfuatiliaji, ukali wake ukaribie kiwango cha kidikteta.

Hayo uliyosema mimi sitayazungumzia.

Nikianza kulia na kulalamika nitamkosea niliye muomba atuletee raisi wa sifa nilizosema hapo juu.
 
Na uzuri uovuu wake wote aupangao moyoni mwake hua ana usema hadharani.
Kama hiyo ndo sababu basi ni dhahiri jamaa hana kosa...

Hakuna anayemhujumu JPM yote yanayosemwa dhidi ya serikali yake ni ya wazi na dhahiri yanatendeka kila mmoja anayaona.

Ama kuna lipi ambalo serikali inazushiwa????
 

..basi kama unaamini ktk SALA omba mambo mabaya na ya hovyo aliyoyaleta Jpm yakome nchini kwetu.
 
Ukiona anayoandika kabendera na kulinganisha na ukweli ndio utajua huyu sio mwenzetu. Ndio maana unakimbia haraka kutia shaka kuhusu uraia wake.
 
Hii vita ya insurgents Ilianza wakati ule kuelekea uchaguzi wa 2015. Jamaa wa mtandaoni wakadakwa na kufunguliwa kesi.

Wenye maslahi mapana na utajiri wetu wanaoishi huko nje wamekutana na awamu yenye jeuri ya utanzania.
 
Yeyote anamuombea huyu muuaji na mtesaji Mzee Meko basi alaaniwe
 
Si kwa kasi hii. troiker , joined date 18 August 2019. Umeanzisha threads 2 kwa mpigo, zote ukimshambulia Kabendera.
 
Yaani maisha yalivyo magumu huku mtaani wazawa hawahitaji hata sumni kumchukia JpM na amini atashinda kwa hila na wizi kama alivyoingia lakini sio kwa kura halali za wananchi wanaolia njaa
 


MUONGO MKUBWA.USITUNGE VITU VISIVYOKUWEPO ILI KUHALALISHA UNYANYASAJI.HIYO HABARI PELEKA KWAKO.WATANZANIA TUMKATAE HUYU MTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…