Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini


Kwahiyo huyo mkali uliomba mtu anayenajisi box la kura kwa kutumia madaraka yake?
 
Kuna kikosi maalum kimeletwa mitandaoni chenye job description mpya kabisa. Lumumba walikuwa wanapigania chama; hawa ni tofauti kabisa. Nadhani Lumumba hawaaminiki tena kwani wengi wao waliajiriwa wakati wa Makatibu wakuu wanaotakiwa kuwa 'purged'.

Kuna kitengo mpya ndio kaja na hii strategy ya kizee kuleta propaganda mfu. Huyu alileta bandiko aliloweka boss wake aitwaye misuli bila kuulizana. Nikawaumbua wakapotezea.

Cc: Misuli
 
mleta mada new member, wanamuunga mkono new member! nawaza kuna mchezo hapa,
 
Kwahiyo huyo mkali uliomba mtu anayenajisi box la kura kwa kutumia madaraka yake?
Mkuu sio kila tunachoomba binadamu ndio bora au sahihi.

Pia sio vyote tunavyoomba ni vibaya sio sahihi.

Kila kitu au jambo lina uzuri na ubaya wake.

Kwa vile baadhi tuliomba wenyewe hali hii basi tukubaliane na madhara au hathari hasi za tulicho omba.
 

Mlioomba hiyo hali msitulazimishe ambao hatukuomba wala kumchagua mtu wa hivyo.
 
Mlioomba hiyo hali msitulazimishe ambao hatukuomba wala kumchagua mtu wa hivyo.
Ndio maana mimi nimekuwa nikitetea wanaodai uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa ili nanyi mpate sehemu na njia sahihi ya kufikisha malalamiko na mawazo yenu kuliko ilivyo sasa watu wanalazimika kutumia njia zenye madhara kwa nchi / taifa.
 
Si kweli
 
Mbona mi napinga halafu hizo hela sizipati?

Nielekezeni basi na mi nipate mgawo
 
1.Issue ya uraia tuiache kwa sababu kuna viongozi wakubwa tu wametuhumiwa kutokuwa raia waTz hawajawahikanusha au kukubali.

2. Weka lisiti ya transaction ya malipo 95,000 USD kwa mwezi alizokuwa analipwa na majina ya watu kwenye hivi vikundi, others itakuwa wivu tu mbona kuna vijana ktk Lumumba wanalipwa 7buku kwa siku kwa kutetea hata yasioyofaa!
 
Ebu tekelezeni ahadi zenu za ml 50/= kila kijiji na computa za walimu wetu. Hizi ngonjera za kuzuiwa kufanya kazi pelekeni CCM. Yaani visingizio kama mbaazi.
 
Wewe ndio jpm au jeska nini
 
Mmmmmh! Properaganda hizi
Kampuni nyingi za mabeberu zinazo operate nchi ni public company zina mashare holder wengi na ziko registered katika stock exchange zao wata account vipi pesa ya kumpa kabendera na kwa lengo lakuichafua serikali ya Tanzania ambayo imewanyima tenda, yaani tenda umekosa bado unatumia pesa kumpa mtu kufanya siasa chafu is that business, andikeniThread huku mkiwaheshimu wasomaji,ulichokifanya hapo na account ni dharau
 
Hivi what's so special kilichopo nchini mwenu hadi watu watoke nje watafute wasio na uwezo hata wa kulipa kodi halafu wawape mamilioni kwa ajili ya kuandika makala za kuichafua serikali?! Acheni uongo wenu wa kijinga hapa!! Na kama kweli, ina maana hadi sasa ameshaandika makala kibao za kuichafua serikali! Tuwekee hapa links za hizo makala, vinginevyo pelekeni porojo zenu Lumumba!
 
Je mpwa anaidhinisha sh.ngapi kwa mwezi??? Manake 95,000 Tena inatoka nje nyie mnagongwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…