Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu ukweli kwa bahati mbaya sana tunauona wachache.
Hapa wengine sababu ya ajira, kuongopewa chamani n.k hujikuta wanafurahia na kuunga mkono watu wanao hujumu nchi yetu.
Awamu ya 4 niliomba sana tupate kiongozi mkali sana kiwango cha udikteta lakini anajali maslahi ya nchi. Anae chukia ubadhirifu na uzembe.
Hatimae tumempata sasa, naona sala zangu zimesikilizwa nimefurahi bila kujali hali yangu kiuchumi awamu hii maana nimepata nilichoomba kwa Mungu.
Kuna kikosi maalum kimeletwa mitandaoni chenye job description mpya kabisa. Lumumba walikuwa wanapigania chama; hawa ni tofauti kabisa. Nadhani Lumumba hawaaminiki tena kwani wengi wao waliajiriwa wakati wa Makatibu wakuu wanaotakiwa kuwa 'purged'.
mleta mada new member, wanamuunga mkono new member! nawaza kuna mchezo hapa,Sijui kuhusu huyo uliyemtaja lakini kuna mtu ambaye ni kama rafiki kwangu aliniambia yupo in dillema kwa sababu amefuatwa na watu wa nje kumuhaidi hela nyingi ili kuandika tafiti na makala za kuchafua serikali. Ni mtu aliyekuwa hata kulipa kodi ya nyumba huko tegeta ilikuwa inakua shida sana. Lakini ndani ya miezi mitatu akamaliza nyumba yake iliyomchukua miaka sita kumaliza. Akanunua magari mawili. Akaoa mke na wakaenda in an exotic island for honeymoon etc. Nilikuwa siamini haya mambo aisee, ila yapo sana. Watu wanakua wabinafsi na myopic sana na kukosa uzalendo.
Mkuu sio kila tunachoomba binadamu ndio bora au sahihi.Kwahiyo huyo mkali uliomba mtu anayenajisi box la kura kwa kutumia madaraka yake?
Mkuu sio kila tunachoomba binadamu ndio bora au sahihi.
Pia sio vyote tunavyoomba ni vibaya sio sahihi.
Kila kitu au jambo lina uzuri na ubaya wake.
Kwa vile baadhi tuliomba wenyewe hali hii basi tukubaliane na madhara au hathari hasi za tulicho omba.
Ndio maana mimi nimekuwa nikitetea wanaodai uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa ili nanyi mpate sehemu na njia sahihi ya kufikisha malalamiko na mawazo yenu kuliko ilivyo sasa watu wanalazimika kutumia njia zenye madhara kwa nchi / taifa.Mlioomba hiyo hali msitulazimishe ambao hatukuomba wala kumchagua mtu wa hivyo.
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ unadumu.
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa tenda na serikali ya awamu ya 5 ,kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu, yalianzisha jitihada za makusudi, za kumkwamisha Rais JPM, na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakikisha Rais anapoteza imani kwa wananchi wake na hadhi yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji ,iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa ,na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kabendera na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia).
Kazi kubwa ya Kabendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali.
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea, fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya,
Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani zisizopungua 95000, ambazo ni takribani milioni 200 za kitanzania na zaidi.
Fedha hizi alizokua akiingiziwa Kabendera, ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni ,kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais.
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara, (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania).
Baada ya kupokea bahasha za tunu ,wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi, wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa, huweka data ,huingia online na kuanza kumtusi,Kejeri,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa, hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani.
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa, na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua desturi hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
Wewe ndio jpm au jeska niniWengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.

Wewe ndio jpm au jeska nini
Wewe umetumwa na nani?umeona ee, katumwa huyu
Hivi what's so special kilichopo nchini mwenu hadi watu watoke nje watafute wasio na uwezo hata wa kulipa kodi halafu wawape mamilioni kwa ajili ya kuandika makala za kuichafua serikali?! Acheni uongo wenu wa kijinga hapa!! Na kama kweli, ina maana hadi sasa ameshaandika makala kibao za kuichafua serikali! Tuwekee hapa links za hizo makala, vinginevyo pelekeni porojo zenu Lumumba!Sijui kuhusu huyo uliyemtaja lakini kuna mtu ambaye ni kama rafiki kwangu aliniambia yupo in dillema kwa sababu amefuatwa na watu wa nje kumuhaidi hela nyingi ili kuandika tafiti na makala za kuchafua serikali. Ni mtu aliyekuwa hata kulipa kodi ya nyumba huko tegeta ilikuwa inakua shida sana. Lakini ndani ya miezi mitatu akamaliza nyumba yake iliyomchukua miaka sita kumaliza. Akanunua magari mawili. Akaoa mke na wakaenda in an exotic island for honeymoon etc. Nilikuwa siamini haya mambo aisee, ila yapo sana. Watu wanakua wabinafsi na myopic sana na kukosa uzalendo.
Je mpwa anaidhinisha sh.ngapi kwa mwezi??? Manake 95,000 Tena inatoka nje nyie mnagongwa kweliWengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ unadumu.
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa tenda na serikali ya awamu ya 5 ,kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu, yalianzisha jitihada za makusudi, za kumkwamisha Rais JPM, na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapoteza imani kwa Raisi ,ili hadhi yake ya urais iyeyuke na baadaye waweke mtu wao.