Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Makinikia pia Kabendera anahusika,sukari na ukata mitaani? Hebu tuwe wazi,kama kuna wanaotumiwa na "mabeberu" kumchafua wapo pia wanaotumiwa kumpaka mafuta ili ameremete! Shilingi ina pande mbili,tusiangalie upande mmoja tu.
 
HAKUNAA KITU NACHUKIA KAMA KUJAZA THREAD BILA KUJUA WAHUSIKA WANAOONGELEWA SAWA NA KUIMBA ZAWADI GANI MM NITAMTOLEA BWANA HUKU WENGINE WAMEUFUNGA MKONO BILA SADAKA MKONONI..
WAWEKEN HADHARANI
E
 
Mimi ni mfuasi wa JPM ila sipendezwi na namna anavokuwa branded. JPM anastahili kutetewa kwa mambo yake mazuri anayofanya sio kwa namna tofauti ya kuzusha taarifa zisizo na msingi. Nachelea kusema tuache mahakama ifanye uchunguzi juu yake kama amaekosa au la!
 
Hapa jf nani anashindwa kutunga Hadith kama hii!!!
 
Wapi katika huu uzi mahakama imezuiliwa kufanya kazi?,taja kifungu kilichozuwia mahakama kufanya kazi zake.
Unafikiri mahakama inaongozwa na mitandao ya kijamii,yaani kila lisemwalo ndio iwe hivyo?
Mahakama zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria ,kanuni na desturi,si kwa mihemuko ya mitandaoni,
Wengi wamesemwa kwa style hii na mpaka leo wako huru
 
Amen and Amen!
 
Propaganda finyu iliyopikwa na mpishi mchovu kabisa sijaona evidence, hoja za mashiko
 
Ubaya Ni kwamba wanao mtetea kabendera wanaongea walicho ambiwa sio wanachokijua wakijua, ukweli akili zitawakaa saw
Kila mtu atabeba furushi lake. Hakuna namna. I hate traitors. Anywhere in the world, the treatment is the same.
Mine are two eyes.
 
Wanasema hata Hitler alikuwa na mashabiki miongoni mwao alikuwa askari shoga aliyekuwa anammega !
 
Cheap propaganda
 
Don't be foolish. Kama kitu hujakielewa soma mara 3 hadi uelewe. Mtoa mada anasema hizi ni habari za kusadikika mana hata huko mahakamani hajashitakiwa kwa huu uharo wa mleta mada. Kwa namna nyingine ni kuwa anajua makosa yake kuliko hata polisi waliomkamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…