mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Endelea kuota hivyohivyo,imani huponyamembeee, membee, membee 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota hivyohivyo,imani huponyamembeee, membee, membee 2020
Hata yeye aliemtuma hajatajwa, ukiishia kujua nimetumwa inatosha huyo nani case nyingine.Wewe umetumwa na nani?
Uko na hasira na watu tuko mbali tunawasiliana kwa maandishi🤣🤣 utapasuka mzeemme wako
Kabendera yupo ndani na bado tunaingia humu, hizo vocha si zingekua zimekata!? Ukweli wengi wa watu mnao unga mkono hata HOJA za kijinga ndio mnao ongoza kununuliwa almost kila kitu so mnadhani kila mtu yupo kama nyieHaya mapovu yenu ni kithibitisho tosha mnapewa za vocha na mleta uzi kutufumbua
Makinikia pia Kabendera anahusika,sukari na ukata mitaani? Hebu tuwe wazi,kama kuna wanaotumiwa na "mabeberu" kumchafua wapo pia wanaotumiwa kumpaka mafuta ili ameremete! Shilingi ina pande mbili,tusiangalie upande mmoja tu.Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ unadumu.
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa tenda na serikali ya awamu ya 5 ,kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu, yalianzisha jitihada za makusudi, za kumkwamisha Rais JPM, na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapoteza imani kwa Raisi ,ili hadhi yake ya urais iyeyuke na baadaye waweke mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhiri.
Mifumo hii ya ulipaji ,iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa ,na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kabendera na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia).
Kazi kubwa ya Kabendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali.
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea, fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya,
Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani zisizopungua 95000, ambazo ni takribani milioni 200 za kitanzania na zaidi.
Fedha hizi alizokua akiingiziwa Kabendera, ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni ,kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais.
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara, (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania).
Baada ya kupokea bahasha za tunu ,wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi, wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa, huweka data ,huingia online na kuanza kumtusi,Kejeri,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa, hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani.
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa, na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua desturi hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla
Buku 7 kaziniZa vocha anataka kuziotesha mbawa ,kwi kwi kwi![emoji23][emoji23][emoji23],komaa
Wapi katika huu uzi mahakama imezuiliwa kufanya kazi?,taja kifungu kilichozuwia mahakama kufanya kazi zake.Mimi ni mfuasi wa JPM ila sipendezwi na namna anavokuwa branded. JPM anastahili kutetewa kwa mambo yake mazuri anayofanya sio kwa namna tofauti ya kuzusha taarifa zisizo na msingi. Nachelea kusema tuache mahakama ifanye uchunguzi juu yake kama amaekosa au la!
Hairusiwi?Double IDs, Kajoin on Sunday Kapost huu uzi on Monday. [emoji23][emoji23][emoji23]
Amen and Amen!Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ unadumu.
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa tenda na serikali ya awamu ya 5 ,kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu, yalianzisha jitihada za makusudi, za kumkwamisha Rais JPM, na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapoteza imani kwa Raisi ,ili hadhi yake ya urais iyeyuke na baadaye waweke mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhili.
Mifumo hii ya ulipaji ,iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa ,na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kabendera na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia).
Kazi kubwa ya Kabendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali.
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea, fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya,
Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani zisizopungua 95000, ambazo ni takribani milioni 200 za kitanzania na zaidi.
Fedha hizi alizokua akiingiziwa Kabendera, ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni ,kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais.
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara, (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania).
Baada ya kupokea bahasha za tunu ,wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi, wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa, huweka data ,huingia online na kuanza kumtusi,Kejeri,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa, hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani.
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa, na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua desturi hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla
Kila mtu atabeba furushi lake. Hakuna namna. I hate traitors. Anywhere in the world, the treatment is the same.Ubaya Ni kwamba wanao mtetea kabendera wanaongea walicho ambiwa sio wanachokijua wakijua, ukweli akili zitawakaa saw
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila mtanzania anayeipenda nchi hii.
Yapo Mengi ila yanawekwa bayana kwa uchache angalau watanzania Mjue sio kwamba Polisi wanaonea watu bali wanajitoa kuhahikisha uhai wa Taifa hili Tukufu la TZ unadumu.
Yataelezwa mambo makuu mawili, kimsingi mambo hayo yapo nyuma ya mashitaka yanayomkabili 1.Utakatishaji Fedha 2. Uraia
1.Utakatishaji Fedha..
Baada ya kunyimwa tenda na serikali ya awamu ya 5 ,kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu, yalianzisha jitihada za makusudi, za kumkwamisha Rais JPM, na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Lengo lao kubwa ni kuhakikisha wananchi wanapoteza imani kwa Raisi ,ili hadhi yake ya urais iyeyuke na baadaye waweke mtu wao.
Kampuni hizo zilisuka mpango kabambe, zikatengeneza vikundi ambavyo vinahusisha wazawa na wasio wazawa, pia ikaundwa mifumo maalumu ya namna ya kuvifadhili.
Mifumo hii ya ulipaji ,iliwalazimisha wakuu wa mkakati huu (Mabeberu) kuwatumia wazawa ,na hapo ndo likaja wazo la kuwaajili (Recruit) Eric Kabendera na mjasiriamali Maarufu nchini(Anawekwa kapuni hadi wakati wake utakapowadia).
Kazi kubwa ya Kabendera ikawa ni kuhakikisha kuwa pesa ambayo itatumika kwenye kazi haramu (Kumuhujumu Rais na Serikali yake) inaingizwa kwa kupitia mifumo halali.
Kabendera akawa anaingiziwa pesa nyingi kama mwandishi wa kujitegemea, fedha ambazo kimsingi hazilingani na kazi anazozifanya,
Kabendera kwa mwezi ikawa anaingiziwa dola za kimarekani zisizopungua 95000, ambazo ni takribani milioni 200 za kitanzania na zaidi.
Fedha hizi alizokua akiingiziwa Kabendera, ndizo ambazo zilikua zinatumika Kulipa vikundi mbalimbali ambavyo vimezuka hususani mitandaoni ,kukwamisha kila jema alifanyalo Mh Rais.
Kila kikundi kina mkuu wake ambaye ndiye anawajibika kupokea tunu kutoka kwa Kabendera, Wakuu hawa ambao wamo wanasiasa na wengine wanaharakati uchwara, (Wanaharakati wenye ajenda ya pembeni tofauti na wanachojinasibu kukipigania).
Baada ya kupokea bahasha za tunu ,wao huwapatia vijana walio chini yao posho ndogo ndogo za vocha .
Vijana ambao ndo wengi, wakishapokea pesa hii ndogo huwa kama mbogo waliojeruhiwa, huweka data ,huingia online na kuanza kumtusi,Kejeri,Ongopea, beza na kumdhihaki Rais kwa kila namna wanayoweza.
Wengi wanafanya sababu ya njaa, hawajui wanaharibu amani ya taifa letu kwa maslahi ya nani.
Hivi ndivyo Kabendera hutakatisha mamilioni ya Fedha kuhakikisha Rais aliyejitolea kusimamia rasilimali za Watanzania anapotezwa, na nchi inaendela kuliwa na wachache kama iivyokua desturi hapo kabla.
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla
Don't be foolish. Kama kitu hujakielewa soma mara 3 hadi uelewe. Mtoa mada anasema hizi ni habari za kusadikika mana hata huko mahakamani hajashitakiwa kwa huu uharo wa mleta mada. Kwa namna nyingine ni kuwa anajua makosa yake kuliko hata polisi waliomkamataWapi katika huu uzi mahakama imezuiliwa kufanya kazi?,taja kifungu kilichozuwia mahakama kufanya kazi zake.
Unafikiri mahakama inaongozwa na mitandao ya kijamii,yaani kila lisemwalo ndio iwe hivyo?
Mahakama zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria ,kanuni na desturi,si kwa mihemuko ya mitandaoni,
Wengi wamesemwa kwa style hii na mpaka leo wako huru