Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Kabendera yupo ndani na bado tunaingia humu, hizo vocha si zingekua zimekata!? Ukweli wengi wa watu mnao unga mkono hata HOJA za kijinga ndio mnao ongoza kununuliwa almost kila kitu so mnadhani kila mtu yupo kama nyie

Mazindu Msambule,
Well said bro! Mungu anasema ktk maandiko Matakatifu: "WATU WANGU WANA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
Huyu mleta mada ni chizi perce! Only CCM hooligans can believe this rubbish propaganda.
Kusema kwamba ati Kabendera anawalipa watu fedha ili wamwandike Rais vibaya ni propaganda za kihuni zinazotengenezwa toka Lumumba street.

Namtaka mleta mada hii atueleze pia ni MABEBERV gani wanaomlipa na kumfadhili mwandishi wa kujitegemea Bwana MUSIBA kumchafua Rais Magufuli???
 
Siwezi kumwombea mkabila hata siku moja. Na namwombea akwame sana.
 
This is stupidity yaani serikali inatumia nguvu na Kodi kuahakikisha mtu hatukanwi au kupewa so called kashfa ?, Who cares kama hao so called mabeberu wameamua kutupa pesa zao kuziweka katika mzunguko wa watu kupinga na kutoa kashfa.., si kuna wengi upande mwingine wanapamba na kusifia ?

Hiizi hoja za nguvu ni za kazi gani kwanini wasitumie hoja za nguvu kupinga yanayosemwa na sio kufungana, kunyamazishana na kuleta habari za kufikirika ?
 
Hili povu sio bure,utakua mnufaika wa senti za vocha
 
Tulia wewe,hujui ya nyuma ya pazia ,ndio maana ikaitwa serikali,inamkono mrefu sana na macho mengi,acha kutoa povu,za vocha zinataka kuyeyuka?
 
'Likes' zaidi ya tisini sasa, kudos mwamba[emoji122][emoji122]
 
Nyoooko ! Haaahaaaa nyie wala rambirambi .Shithole type
 
Ndio maana kakimbia nchi yake. Na yeye alikuwa na tabia chafu kama mwenzie Kaflag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…