Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Pumbavu mkubwa . Bila Shaka we ni mtoto wa kahaba
 
Acha kuleta habari za kizushi

Kabendera kaanza kufanya kazi za uandishi kwenye maagazeti ya nje toka enzi za JK

Mabeberu wakitaka kumhujumu JPM hawana shida ya kujisumbua, wanayo IMF na World bank, wana uwezo wa kumfanya asiuze nje bidhaa wala kupata msaada wowote wala mkopo wowote

Kwa hiyo acha stori zako za kijiweni
 
Kwa mambo anayowafanyia watu walivyo kinyume chake kumuombea kila mbaya limfike Hutu jiwe muuaji mkubwa
 
Rais aliye ahidi kuwa anataka wananchi wake Matajiri waishi kama Mashetani anahitaji kuchafuliwa na mtu gani tena zaidi ya matendo yake anayo yaonesha mwenyewe? Anawaweka mahabusu matajiri bila hatia, kuwateka raia wema, kuwapoteza raia wake, kubambikizia watu kesi na sasa hivi kaongeza kioja kingine cha Kudukua mazungumzo ya watu. Yaani ktk Marais washamba huyu amewazidi woteeeee.

Eti rais mzima unaacha kufanya mambo ya kimsingi ya kiofisi eti unanyatia madirishani kwa watu kusikiliza huko ndani wanaongea nini huu ni Urais gani?
Eti kuna siku nakumbuka alipiga simu CLOUDS FM akisema anapendaga kipindi cha SHILAWADU.
 
Bora ungekaa kimya tu kwani kuliko kuwachosha watu kusoma upuuzi huu. Tafuta akili kwanza ili Uwezo kuandika issue Ya kuwashawishi wenye akili. Charge sheet ya Kabendera inaonesha utakatishaji wa Milioni mia Na ushee, wewe unasema kila mwezi alikuwa analipwa karibu Milioni Mia Mbili. Hovyo Kabisa ninyi ndio mnafanya hata wait wahisi kuwa Kabendera anaonewa hata kama ana makosa
 
Serikali yenye kila aina ya vifaa na watumishi haiwezi kushindwa kujua hujuma na njama kama hizi ulizoelezea hapa kwa taratibu zinazoeleweka kisheria bila ya kupindapinda kote huko alikofanyiwa Kabendera.

Bandiko lako hili ni la kuhadaa na kuwaaminisha wasiotaka kushughulisha akili zao kufikiri.

Hawa 'mabeberu' mbona mnawaweka mbele sana? Hivi mabeberu hawa wakitaka kweli ktushughulikia wana sababu zozote za kuhangaika na akina Kabendera?
 
Kimba
 
What a load of crap!
 
umeshayafikisha mahakamani haya madai yako?
Vipi unaushahidi wowote wa bank slip alizokuwa anatumiwa kabendera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…