Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

UPUUZI MTUPU! 🤮🤮🤮

 
Hivi mnafikiri sisi wananchi ni wajinga wa kushindwa kuchambua mambo hadi nyie mtusaidie kutuonesha kuwa anafanya kazi??
 
Ukitaka kumsaidia "mjinga" humzibi mdomo bali unamwacha aonyeshe ujinga wake ili umtibu kwa kumuelimisha. Kama labendera anapaka matope unaonyesha matope yake kwa kusema ukweli. Ndio maana ya kuwa na "mouth peace za serikali". Kinachoendelea kinajulikana ndani na nje na kinamadhara makubwa kuliko hayo "matope" anayapaka.
 
Nonsense. Eat shit dumbass.
 
Mkuu, mwandishi ametuletea habari ya kutufumbua macho japo masikio bado tu viziwi! Suala la money laundering nadhani huyo Kaflag alikuwa anapata pesa ila halipi ushuru kutokana na hicho kipato ndio maana wamemburuza kwa mashitaka ya ukwepaji kulipa ushuru na hivyo kutumia ukwepaji huo kutakasa pesa!! Nahisi harufu ya samaki aliyeoza kwa Kaflag!!
 
Nadhani itapendeza kama utaonesha kwa mifano thabiti n wap alipokosea bwana kaflag
 
Hakuna anaeshirikiana na mabeberu wala mambuzi jike,kumkwamisha Magufuli hivyo ni visingizio vya kuwawekea wananchi ndani na visingizio vya kuwapigia wananchi risasi.
 
Ubaya Ni kwamba wanao mtetea kabendera wanaongea walicho ambiwa sio wanachokijua wakijua, ukweli akili zitawakaa saw
Je tumuamini nani? Kila upande unazungumza kivyake. Tuiache mahakama itende haki na tumpe nafasi mtuhumiwa nafasi ya kujitetea ili athibitishe ana makosa au la
 
Nachoipendea serikali ya awamu hii, wananchi wakifikwa na mabaya wamejitakia wenyewe ila kiongozi akiambiwa ukweli, hao wasema ukweli wanaambiwa ni wahaini...



Cc: mahondaw
 
Kwahaya mashambulizi ya matusi dhidi ya huu uzi ni kiashiria tosha una ukweli ndani yake,na wanaotukana ndio wanaopata za vocha ,hivyo wanajaribu kulinda kibarua chao kinachowapatia za vocha.

Haiwezekani nguvu kubwa itumike namna hii.
 
wote tunajua kilichomtokea Gaddafi, wananchi wake walitumika wamporomoshe ikawezekana. enzi za utumwa mtu mweusi alikua akiingizwa kwenye system ya wazungu na kuwa sehemu ya jeshi la mkoloni na yeye anaanza kuwatesa weusi wenzake kama wanavyofanya wazungu. Mwafrika akiwekwa kwapani na mzungu anajihisi chosen one, anajihisi yupo privileged, na hapo ndipo anakua na roho ya kuigeuka asili yake.
mimi sina chama, naona CCM na CHADEMA wote wasaka tonge. ila nakereka sana kuona au kuskia mtu mweusi kama mimi akitumika na mzungu kuigeuka jamii yake na kusababisha machafuko.
 
porojo kama porojo ya mtoa bandiko
 
Inabidi sasa mitaala yetu iwe na mada ya "International Sabotage". Mbona kama vile wadau wengi humu ndani hawaamini uwepo wa hujuma za kimataifa? Kwanini tunapenda kuamini kitu au jambo kama linavyoonekana? Kuna mambo mengi huendelea nyuma ya pazia jamani. Wazungu wenyewe husema "Nothing is as it seems"! Sio kila kitu unachokiona, unachokisikia, unachokihisi basi ndivyo killivyo!
Hujuma zinazofanywa na mabeberu kwa serikali za dunia ni endelevu. Hazijawahi kukoma, basi tu kuna wakati zinakuwa intense kidogo. Tuwashukuru wanaotupa hizi hints kwa awamu hii.
Wanaopenda umbeya wa kwenye vitabu wanaweza kupakua mtandaoni kitabu kiitwacho: Encyclopedia of Espionage, Intelligence and Security, Volume 1: Mtaona hujuma za mabeberu hadi kwa mimea ya chakula.
 
Kwahaya mashambulizi ya matusi dhidi ya huu uzi ni kiashiria tosha una ukweli ndani yake,na wanaotukana ndio wanaopata za vocha ,hivyo wanajaribu kulinda kibarua chao kinachowapatia za vocha.

Haiwezekani nguvu kubwa itumike namna hii.
Heee kumbe wanufaika wa vocha wapo humu pia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…