Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Vipi mkuu hiyo nafasi ya kabendera iko wazi maana najua kuna watu wengi humu jf wanaitaka
 
wapo pia wanaolipwa ili waiandike serikali vizuriiii mitandaoni jamani tuwe wakweli mbona wanaoiandika serikali vzurii na wanalipwa wapoo wengi tu...mi sidhani kama kuiandika serikali vibaya ni kuichafua nchi serikali ni serikali na nchi ni nchi. ..serikali huwa zinpita na magufuli pia atapita taifa litabaki so hivi ni vita vya kisiasa tu baina ya serikali na wapinzani wa serikali has nothing to do withs taifa
 
Kutetea pasipo kuweza kutetea huwa ni shida Sana. Propaganda katika maisha ya watu ni kijitabia kibaya ambacho hakifai. ID mpya mjipange namna ya kueneza mnayotaka kuwaaminisha watu.
 
Lakini pia nchi huwa hailindwi kwa ajili ya wakati uliopo. Nchi hulindwa kwa gharama sana kwa ajili ya vizazi vijavyo. Yaani kwa ajili ya uendelevu wake. Wakati tunaoishi ulishalindwa zamani. Haya ni matunda ya ulinzi uliofanyika zamani.
 

Naomba nikuulize swali moja tuuu,,,,, pamoja nakupewa hela ili kuichafua nchi,,. Je wanayoandika (huko mnakokuita kuichafua nchi) ni yakweli au yakutunga?
Where is Azory?
Lisu hakupigwa risasi?
Vyombo vya habari viko huru?
Demokrasia ikoje?
Watu hawabambikiziwi kesi?
 
Ushuzi mtupu
 
Mkuu saidia nchi yako ,ni kumpointi tu,anakusaidia nini?,zaidi ya kuharibu taifa
 
Huu upumbavu wako hauwez kumshawishi hata babu yako kule kijijiņ
 
sasa nafsi ya mtu si kitu kabisa. Tunaihalalisha kwa kuitungia tungo tu. Jamani, atakayeitoa nafsi ya mtu naye yake itatolewa. Ni hayo tu
 
Nani raia kwenye ulimwengu huu wote tumeukuta tu
 
Ok.goodnight.
 
Nimeandika nikafuta, nimeandika tena nimefuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…