Hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kuichafua na kupanda mbegu ya chuki kwa mashabiki wa Simba dhidi ya Serikali

Hutetei team ya mkoa kwa kutumia resources za serikali kufanyia figisu team zingine. Ni upumbavu Na ujinga
Hakuna figisu wala nini imani za kichawi tu ndio zinatusumbua. Wewe kama bora bora tu, ulete Real Madrid hapo halafu fanya figisu zote na wachawi wote kusanya utachukua kichapo tu. Simba team kubwa haitakiwi kuogopa figisu na uchawi wewe bora piga mtu tu kiwanjani.
 
Huu ndio upuuzi unao wafanya Simba wakatae mazoezi Yao kushuhudiwa ,
Your browser is not able to display this video.
Nimambo ya hovyo na yakukemewa na Wakuu wote wa mikoa ambao Simba itakwenda kucheza na Mameneja na walinzi wote wa viwanja kua nao makini awa wachawi wanao tambuliwa na CAF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…