Hakuna figisu wala nini imani za kichawi tu ndio zinatusumbua. Wewe kama bora bora tu, ulete Real Madrid hapo halafu fanya figisu zote na wachawi wote kusanya utachukua kichapo tu. Simba team kubwa haitakiwi kuogopa figisu na uchawi wewe bora piga mtu tu kiwanjani.Hutetei team ya mkoa kwa kutumia resources za serikali kufanyia figisu team zingine. Ni upumbavu Na ujinga