Hizi Tuzo alizopewa Gabo Sijazielewa...........

Hizi Tuzo alizopewa Gabo Sijazielewa...........

Tuzo ndio zinafanyika mara ya kwanza hizo za azam za mwaka jana ni ziff zanzibar shida iko wapi?
 
Kuna 'GABO' wawili mimi ninayemjua ni yule mchora katuni wa Kenya
 
Hongera gabo kwa kutwaa tuzo.

Hakika upo vyema big up!!
 
Umeuliza swali la msingi, spendi bongo moviea na siangalii
Ila kwa ulivo ongea kuna technical problem hapo. Ilifanyika
 
Technical problem itakuwa ipo kwenye ubongo wenu. Hizo tuzo ndio mara ya kwanza kufanyika na mija ya masharti ni kuwa msanii apeleke kazi yake mwenyewe anayomilik kitu ambacho wasanii wengi wenye majina wameshindwa coz kazi nyingi huwa hawamiliki wao wenyewe. Yaani wameshauza japo yeye ndio actor mkuu. So gabo na wema wakapata hilo shavu la kushinda hz tuzo. Na coz ni mara ya kwanza kufanyika nahisi hawakuweka mashart ya muda wa filamu kuwa ziwe ni za muda gani so jamaa akapata mwanya ya kuingiza hiyo filamu yake ya mwaka juzi sijui jana. All in all kuwa jamaa walikuwa wapo sahihi.
 
Mnazingua nyie hii tuzo ndio yatolewa Kwa mara ya Kwanza ...kwan mtu ukipewa tuzo Na Grammy award inakufanya usipewe Oscar
 
Nasikia Gabo Gabo, picha yake tafadhali
 
Technical problem itakuwa ipo kwenye ubongo wenu. Hizo tuzo ndio mara ya kwanza kufanyika na mija ya masharti ni kuwa msanii apeleke kazi yake mwenyewe anayomilik kitu ambacho wasanii wengi wenye majina wameshindwa coz kazi nyingi huwa hawamiliki wao wenyewe. Yaani wameshauza japo yeye ndio actor mkuu. So gabo na wema wakapata hilo shavu la kushinda hz tuzo. Na coz ni mara ya kwanza kufanyika nahisi hawakuweka mashart ya muda wa filamu kuwa ziwe ni za muda gani so jamaa akapata mwanya ya kuingiza hiyo filamu yake ya mwaka juzi sijui jana. All in all kuwa jamaa walikuwa wapo sahihi.
Mkuu naomba kujua Wema nae ni muigizaji? Mana naskia kapata tupo! !!
 
Inakuaje mtu unaandika nyimbo ya ...... badala ya wimbo wa .....
 
Hii nchi ni maskin kwa kila kitu, Gabo eti mshindi HAHAHHA
Kwangu mimi ukiniuliza nini maana ya Umaskini basi nitakuambia ni hiki ulichoandika. Kudhihaki ushindi wa Gabo bila kupendekeza mbadala wake ni umaskini uliotukuka.
 
Back
Top Bottom