Technical problem itakuwa ipo kwenye ubongo wenu. Hizo tuzo ndio mara ya kwanza kufanyika na mija ya masharti ni kuwa msanii apeleke kazi yake mwenyewe anayomilik kitu ambacho wasanii wengi wenye majina wameshindwa coz kazi nyingi huwa hawamiliki wao wenyewe. Yaani wameshauza japo yeye ndio actor mkuu. So gabo na wema wakapata hilo shavu la kushinda hz tuzo. Na coz ni mara ya kwanza kufanyika nahisi hawakuweka mashart ya muda wa filamu kuwa ziwe ni za muda gani so jamaa akapata mwanya ya kuingiza hiyo filamu yake ya mwaka juzi sijui jana. All in all kuwa jamaa walikuwa wapo sahihi.