Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
JPM aliwahi kusema mtanikumbuka haya yanayotokea nchi sio mazuri hata kidogo matumizi mabaya ya fedha za umma kwenda urusi kununua PHD za mchongomchongo ambazo haziinufaishi nchi kwa namana moja ama nyingine
Raisi ambaye amefanya nchi imegawanyika anapewaje tuzo za heshima na PHD amefanya nini au kwasababu amekopa sana kuwanufaisha hao mafisadi
Kama unatafuta huruma huko Urusi pole sana Putin ni mtu smart sana ila usitegemee atakuunga mkono kwa kuuwa watu oktoba 29 naona Samia anaanza kujiweka pembeni na marekani lakini lazima awajibishe tu huwezi kuuwa maelfu ya watu wasikuwa na hatia ukabaki salama eti kisa unatetea kiti watu hawakupendi achia kiti hicho wewe.
Ikitokea Marekani mkazinguana yakawa kama yale ya maduro usitegemee urusi ataleta jeshi lake hapa utauziwa silaha tu basi
Sijui kwanini marekqni wasilianzishe tu hawa mbuzi tumewachoka