Hizi Videos za Merry Xmass, New Year Wishes zinaboa...!

Hizi Videos za Merry Xmass, New Year Wishes zinaboa...!

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Naona mwaka huu Xmas na New Year wishes zinakuja kwa mtindo wa video clips. Kunachoboa video hio hio unatumiwa na watu hata 20!
Mimi wala sipotezi bundle langu kufungua wala kujibu naipita tu. Ukitaka nikujibu nitumie old school msg....xmas njema au merry xmas!
 
Mimi akinitumia msichana nayempenda hata kama ninayo tayari nafungua tu

Eeeeh

Safi sana

Hii kitu inaonyeshea mengi.. kama mimi hata naweza kujibu mtu/watu wafikiri nimeifungua kama haswa najua linalojiri..

Ikifika kwako hatajua kama ulifungua au la..unajibu tu
 
Eeeeh

Safi sana

Hii kitu inaonyeshea mengi.. kama mimi hata naweza kujibu mtu/watu wafikiri nimeifungua kama haswa najua linalojiri..

Ikifika kwako hatajua kama ulifungua au la..unajibu tu
Mimi kuna chache najibu bila kufungua, sasa moja mimi nikajibu 'same to u kumbe jamaa kaandika nawashukuru wote mliofanya nitabasamu mwaka huu
 
Back
Top Bottom