Kweli kabisa na kwa barabara zetu na foleni usishangae ukakuta 1500cc(1.5L) inakula vizuri kuliko hiyo ya 990cc (0.99L)Gari likishakuwa chini ya 1.5L ni shida tu....tunaendesha tu vile hali ya maisha inatulazimu kufanya hivyo...[emoji849][emoji849]
Yeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?kwa ushauri wangu hiyo engine ni ndogo sana kwa mazingira yetu ya kawaida, hatimaye hutapata fuel efficient yeyote, na kwa udogo wake ni rahisi sana engine kuchoka...
kwa ushauri wangu hiyo engine ni ndogo sana kwa mazingira yetu ya kawaida, hatimaye hutapata fuel efficient yeyote, na kwa udogo wake ni rahisi sana engine kuchoka, Japo wengi wanazi classify kwa number of engine cylinders (yaan piston 3 au 4).....
Wadau naona speed ya raia kuziuza hizi gari ambazo kimsingi zinaonekana ni gari fuel efficient na namba D. Nimeshindwa kung'amua kama zina matatizo ama inakuwaje, hebu wenye moja na 2 jitokenzeni muweke bayana kisa na mkasa.
Maana unakuta chombo D namba body imenyooka mtu anataka 5m tu.
Hahaha kwahio kinatetemeka kama lowassa mkuu? Vinatumia engine kama jenereta niniMzee baba hivyo vigari vyenye CC ndogo ukikiwasha asubuhi unaona gari inatetemeka mpk unasikia mwili unawasha balaaaa kama umekunywa krolokwini vile hahah.
Hahaha kwahio kinatetemeka kama lowassa mkuu? Vinatumia engine kama jenereta nini
πππππ nimeshaona mkuu, na nimekariri ile muonekano. Kikifunguliwa bonnet tu najua haka ni 1KR na kameandikwa vvt-ihahahahq mkuu hivi umewahi kufungua engine bay ya hizo gari.... kainjini kama tofali
nahisi wengi walizinunua alafu wameona kwa matumizi yao wanakuwa wanazi over work so wanaamua kuziuza
hizo gari ni za town root tu... ukiipiga safari ndefu full milima lazima ikudissapoint tu
gari upo speed 120 ila ukianza kupanda mlima inashuka hadi 50 na unaiona kabisa inastrugle
πππππ nimeshaona mkuu, na nimekariri ile muonekano. Kikifunguliwa bonnet tu najua haka ni 1KR na kameandikwa vvt-i
[/QUOTEvi vitz cc 990 vinasumbua
Mzee baba hivyo vigari vyenye CC ndogo ukikiwasha asubuhi unaona gari inatetemeka mpk unasikia mwili unawasha balaaaa kama umekunywa krolokwini vile hahah.
Hapana ni 1SZ , 1KR ipo kwenye toleo lililofata na ndio iko kwenye PassoYeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Ina cylinder 4 yenye injini code 1SZ na 1KR ndio ina piston tatuCc 990 ni cylinder 3