Hizi vits za cc 990 zina matatizo gani?

Hizi vits za cc 990 zina matatizo gani?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Habari WanaJF,

Wadau naona speed ya raia kuziuza hizi gari ambazo kimsingi zinaonekana ni gari fuel efficient na namba D.

Nimeshindwa kung'amua kama zina matatizo ama inakuwaje, hebu wenye moja na 2 jitokenzeni muweke bayana kisa na mkasa.

Maana unakuta chombo D namba body imenyooka mtu anataka 5m tu.
 
Kwa ushauri wangu hiyo engine ni ndogo sana kwa mazingira yetu ya kawaida, hatimaye hutapata fuel efficient yeyote, na kwa udogo wake ni rahisi sana engine kuchoka,

Japo wengi wanazi classify kwa number of engine cylinders (yaan piston 3 au 4)
lakini kwangu mm hata iwe piston 4 yenye 990cc bado ni ndogo sn.

Ukitaka kujua udogo wake hata ukiwasha air condition tu unaisikia engine kbs kuna mzigo umeongezeka , sasa ukiongeza na full headlamp una usikia kbs uzito wa mzigo.

Ukishindwa kabisa kuiacha hiyo 990 cc Bora uchukue ya 4 piston ISIWE 3

Ushauri wangu kama lengo kuu ni Fuel economy Please Don't go below 1298cc (2NZ or 2SZ) na zipo nyingi sana Vitz, Passo, FunCargo, IST, Boon, n.k
 
kwa ushauri wangu hiyo engine ni ndogo sana kwa mazingira yetu ya kawaida, hatimaye hutapata fuel efficient yeyote, na kwa udogo wake ni rahisi sana engine kuchoka...
Yeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
 
kwa ushauri wangu hiyo engine ni ndogo sana kwa mazingira yetu ya kawaida, hatimaye hutapata fuel efficient yeyote, na kwa udogo wake ni rahisi sana engine kuchoka, Japo wengi wanazi classify kwa number of engine cylinders (yaan piston 3 au 4).....

Umenibadilisha sana.

Asante!
 
Mzee baba hivyo vigari vyenye CC ndogo ukikiwasha asubuhi unaona gari inatetemeka mpk unasikia mwili unawasha balaaaa kama umekunywa krolokwini vile hahah.
Wadau naona speed ya raia kuziuza hizi gari ambazo kimsingi zinaonekana ni gari fuel efficient na namba D. Nimeshindwa kung'amua kama zina matatizo ama inakuwaje, hebu wenye moja na 2 jitokenzeni muweke bayana kisa na mkasa.
Maana unakuta chombo D namba body imenyooka mtu anataka 5m tu.
 
Hahah hata zaidi yake mkuu kina (Tetema kama generator-wasafi)

Ukikiwasha hamna kuingia ndani unakiacha kama dakika 7 hivi ukiwa unasikilizia kwa nje kipunguze mitetemo.
Hahaha kwahio kinatetemeka kama lowassa mkuu? Vinatumia engine kama jenereta nini
 
Hahahahq mkuu hivi umewahi kufungua engine bay ya hizo gari.... kainjini kama tofali

Nahisi wengi walizinunua alafu wameona kwa matumizi yao wanakuwa wanazi over work so wanaamua kuziuza

Hizo gari ni za town root tu... ukiipiga safari ndefu full milima lazima ikudissapoint tu

Gari upo speed 120 ila ukianza kupanda mlima inashuka hadi 50 na unaiona kabisa inastrugle
 
hahahahq mkuu hivi umewahi kufungua engine bay ya hizo gari.... kainjini kama tofali

nahisi wengi walizinunua alafu wameona kwa matumizi yao wanakuwa wanazi over work so wanaamua kuziuza

hizo gari ni za town root tu... ukiipiga safari ndefu full milima lazima ikudissapoint tu

gari upo speed 120 ila ukianza kupanda mlima inashuka hadi 50 na unaiona kabisa inastrugle
😂😂😂😂😂 nimeshaona mkuu, na nimekariri ile muonekano. Kikifunguliwa bonnet tu najua haka ni 1KR na kameandikwa vvt-i
 
Mzee baba hivyo vigari vyenye CC ndogo ukikiwasha asubuhi unaona gari inatetemeka mpk unasikia mwili unawasha balaaaa kama umekunywa krolokwini vile hahah.

Wewe una gari aina gani?

Nakukumbusha mshikaji amekuzidi kamjengo kule Kerege.

Wewe una nyumba? Amka!
 
Yeah hako ka engine ka cc990 ni 1KR kapo pia kwenye passo. Binafsi nimekuelewa sasa, kwahio gari itakuwa inatweta sana yani ukiipigisha masafa?
Hapana ni 1SZ , 1KR ipo kwenye toleo lililofata na ndio iko kwenye Passo
 
Back
Top Bottom