Hizi wiki za mimba ni sawa au nesi kakosea calculation

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu

Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 ,

Sasa kimenishangaza baada ya kuona dalili zote kuwa ni mjamzito ,kaenda hospital kuanza clinic ambayo kaenda tar 23 mwezi wa kwanza ila kule nesi kaandika
Kuwa ujauzito ni wiki 8

Sasa najiuliza hizi wiki nane zimefikaje hapa
Mbona kama mahesabu hayaendi sawa
Katumia kikokotoo gani ?

Au kuna njia gani zinatumika kujua umri wa mimba kwa makadio.?

Then kamuandikia expectation ni tar 4.9.023

Je yupo sahihi au kakosea ?

Mana tangia kumaliza tar 2 mwezi wa 12 hadi tar 23 mwezi wa kwanza bado hata miezi miwili haijafika lakin kule nesi kaandika wiki 8 ambazo ni sawa na miezi miwili??..

Wajuvi mnasemaje?
 
Mbona nesi iko sahihi kabisa kwani wewe boss mwenye kutoa salary ulisoma mpaka kidato gani? Ila kwa nia nzuri tu.
 
Ni sawa
Screenshot_2023-01-30-07-28-59.jpg
 
Nadhani huwa calculations zao ni assumptions tu za kawaida ambazo hazina uhalisia kabisa. Kwa hizi wiki nimegundua huwa wanachukulia umri wa mimba ni kuanzia tu pale anapomaliza period hadi hapo siku ilipo kwa kuwa hawajui ni siku gani mlishiriki mapenzi

Kwa hapo nimeelewa kwa kuwa hawajui ni siku gani sahihi ndio maana huwa ni makadirio tu ili ujiandae
 
@Hannah nimeanza kuhesabu tar 8 mwezi wa 12 hadi tar 23 mwezi wa kwanza siku aliyoanza clinic.
Anza tarahe ya mwisho aliyoanza period ya mwisho ambayo ni tarehe 28. Wewe kwanini umeanzia tarehe 8?
Tunahesabu kwanzia mara ya mwisho kuingia period.
 
Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu

Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 ,

Sasa kimenishangaza baada ya kuona dalili zote kuwa ni mjamzito ,kaenda hospital kuanza clinic ambayo kaenda tar 23 mwezi wa kwanza ila kule nesi kaandika
Kuwa ujauzito ni wiki 8

Sasa najiuliza hizi wiki nane zimefikaje hapa
Mbona kama mahesabu hayaendi sawa
Katumia kikokotoo gani ?

Au kuna njia gani zinatumika kujua umri wa mimba kwa makadio.?

Then kamuandikia expectation ni tar 4.9.023

Je yupo sahihi au kakosea ?

Mana tangia kumaliza tar 2 mwezi wa 12 hadi tar 23 mwezi wa kwanza bado hata miezi miwili haijafika lakin kule nesi kaandika wiki 8 ambazo ni sawa na miezi miwili??..

Wajuvi mnasemaje?
Nesi yupo sawa mkuu. Umri wa mimba huwa unaanza kuhesabiwa kuanzia ile tarehe aliyoanza kupata period yake ya mwisho. Kwahiyo anza kuhesabu kuanzia tarehe 28 mwezi wa 11 hapo utapata week kamili za wife.
 
Back
Top Bottom