Hizi zilikuwa tamaduni za Kiafrika kabla hatujaletewa dini

Dali Mpofu

Senior Member
Joined
May 9, 2021
Posts
173
Reaction score
328
Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.

Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.

Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa. Hii ni post tu sasa tuulete kwenye uhalisia.
 
(izi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini) ngoja niwai point yangu.
Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.
Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa.
Sema tu ukweli ushauriwe cha kufanya 😂😂
 
Hizo unazo ona ni kejeli ndio majibu sahihi, kiufupi chapa kazi kwa ufanisi hakuna utajiri wa uchawi wala miujiza.
 
Hao wagamga wenu wanaangalia basics za maisha, ukiwa na wanawake wengi chances za kutapanya pesa ni kubwa so huwezi kupata maendeleo.
 
kabla ya wazungu Africa hakukuwa hata na utajiri!.. dhana ya utajiri wameleta wao!
 
Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.

Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.

Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa.
Kataa ndoa squard watoe SoMo Mara ngapi humu?
 
Back
Top Bottom