Hizi zilikuwa tamaduni za Kiafrika kabla hatujaletewa dini

Hizi zilikuwa tamaduni za Kiafrika kabla hatujaletewa dini

Kila KITU kimeunganishwa ukiwa mzinzi unakuwa umejiunga katika mtandao wa wazinzi

Unaweza kuwa DSM Ila unashare mwanamke na MTU aliyepo Bukoba

So Mganga anaangalia aina ya mtandao upi akuweke kirahisi akikwambia uache kuzini for a while na uanze kuamka saatisa kila siku na kufungua biashara mapema maana yake anataka kukuingiza ktk mtandao wa great thinkers


Uchawi sometimes is mind of game
 
Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.

Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.

Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa. Hii ni post tu sasa tuulete kwenye uhalisia.
Ya kwanza ndio nzuri kwa Mimi!
 
Back
Top Bottom