Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Sema tu ukweli ushauriwe cha kufanya 😂😂(izi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini) ngoja niwai point yangu.
Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.
Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa.
Ujaacha ramli?Ndo masharti umepewa
Nakutafutia njiaSema tu ukweli ushauriwe cha kufanya 😂😂
Njia gan mkuuNakutafutia njia
Kwa hyo wakoloni ndo walileta hizo dawaHakuna utajiri wa kishirikina kabla ya kuja wakoloni , zaidi palikuwa na dawa za kupambania vita .
MafanikioNjia gan mkuu
Mm sipiti hizo njia Nina za kwanguMafanikio
Acha kuhukumu hii ni post tuu tunafanya mfano kwenye uhalisiaMm sipiti hizo njia Nina za kwangu
Kataa ndoa squard watoe SoMo Mara ngapi humu?Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu.
Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.
Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri sana pia upo huru kufanya kila aina ya starehe sharti usioe hurusiwi kuoa. Haya ni masharti,sasa kwa kuangalia ipi ni sahihi au angalau hapa.
Lakini uganga?kabla ya wazungu Africa hakukuwa hata na utajiri!.. dhana ya utajiri wameleta wao!