Chaz Lee
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 588
- 494
Noma sana
Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..
Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app