Hizi zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa gani?

Hizi zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa gani?

I know u r still Alive but[emoji30]
[emoji443][emoji441]BURIAAANIII NAAAGAA[emoji443][emoji443][emoji442]MASEELAA[emoji30][emoji30]BURIAAAANI NAWAAAGA MAASEELAA[emoji441][emoji443]NIKALAZWE PEMAA PEPOONI KAAMAAANDA[emoji443][emoji17][emoji441]ITAKUA NI HUZUNI KWA JF NA MASELA[emoji30][emoji443][emoji443]ITAKUA NI HERI MIMI KWENDA AKHERA[emoji1321]‍♂️
 
hahahahahah unazingua mzee baba

Mkuu sizingui Mkuu kwanza hii inatupa sisi darasa kuwa TUSITEMBELEE RIM,
TAIRI MUHIMU MKUU

Hapa kilichopo ni tumpe Moyo tu ndugu yetu[emoji17]japo tunampenda saaana lkn Godi anamtamani zaidi jamani[emoji30][emoji30]UUUWIIIIII[emoji24][emoji24]naandika waraka huu huku machozi yakinibubujika[emoji22][emoji22]kwa machungu saanaaa[emoji24][emoji24]
Najiliwaza na wimbo wa KAMANDA[emoji41]
 
Noma sana

Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..

Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app

pole sana mkuu
hahaha isije ikawa unamchukia Piere
 
Noma sana

Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..

Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahitaji sana uandike wosia mapema mkuu!huwezi jua ya kesho

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom