Chaz Lee
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 588
- 494
- Thread starter
- #21
Unaweza kata nn?Amoebic dysentery, inatibiwa kirahisi na fragile. Ila ukizembea unaweza kata
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kata nn?Amoebic dysentery, inatibiwa kirahisi na fragile. Ila ukizembea unaweza kata
hahahahahah unazingua mzee baba
Kata umeme, yaani kufa.
Noma sana
Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..
Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani Kiongozipole sana mkuu
hahaha isije ikawa unamchukia Piere
Jitahitaji sana uandike wosia mapema mkuu!huwezi jua ya keshoNoma sana
Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..
Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuuJitahitaji sana uandike wosia mapema mkuu!huwezi jua ya kesho
Sent by Diaspora