Hizi zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa gani?

Chaz Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
588
Reaction score
494
Noma sana

Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto sana. Vile vile naumwa kichwa sana..

Hizi dalili zote zimeanza jana, hapa najipanga niende hospital lkn kabla sjaenda mnaweza kunipa mtazamo wenu..

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleee.ila nenda tu hospital kwnz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, tafuta dawa inaitwa Norzole, meza hiyo kwanza. Hapo unakata tumbo la kuharisha ndani ya dakika 10, highly effective ktk kuharisha, baada ya hapo kimbilia hospitali.
 
Mlaze[emoji443]peeema[emoji441]pepoooni kamaaanda[emoji443][emoji442]buriani naaga[emoji30]maseelaaa[emoji443]buriani naagaa maaasela[emoji442][emoji441][emoji441]
 
Mkuu, tafuta dawa inaitwa Norzole, meza hiyo kwanza. Hapo unakata tumbo la kuharisha ndani ya dakika 10, highly effective ktk kuharisha, baada ya hapo kimbilia hospitali.
Hii dawa ni kiboko, mimi ilinitibu dalili za mwanzo za ulcers.
 
Hizo japo ni dalili za awali za cholera, ila kuharisha na kutapika huwa ni dalili za magonjwa mengi.Nenda hosp for lab tests then utapewa dawa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeenda nimepatiwa dawa, wadudud hawaonekani kwenye damu wala choo. Kumbuka naharisha damu.. Kwa hyo nimepewa dawa ya kuua amoeba flan ambao wanasababisha kuhara damu japo dokta kasema na ngumu kuwaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Amoebic dysentery, inatibiwa kirahisi na fragile. Ila ukizembea unaweza kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…