MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Mnada ni kuanzia sa 4 mpaka sa kumi tunanzia mahina sa 4, big bite sa 6 na sa 8 na mwisho sa 10 ilemela mahakamani
mimi ninahitaji kiwanja mwanza,tatizo la nyumba za mnada huwa zinakufanya ushinde mahakamani baada ya kuinunua
Nadhani ni TIB Development BankZipo chini ya benki ya serikali???
Zilizouzwa ziliuzwa kiasi gani?