BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho.
Hio Geita ukisikia wakina Musukuma wanajinasibu unaweza dhania huko Geita mabomba yanatoa maziwa badala ya maji ila kumbe ni full umasikini.
Badala ya daily kusifia ujinga watawala wanapaswa ku adress swala la umasikini wa vipato kwa raia ambao wanazungukwa na utajiri mkubwa sana wa madini.
Yes Geita kuna Dhahabu ila kuna umasikini mkubwa sana na sijiu siku dhahabu inaisha itakuwaje kama kwa sasa kuna dhahabu na kuna umasikin vipi siku dhahabu inaisha?
Nzega ule Mgodi wa Resolute kule nzega si wamecha mashimo tupu na umasikini?
Ile North Mara nayo kikubwa wataacha mashimo na Umasikini wa Raia wa Tarime, make ukisikia Norty Mara kama hujafika huko utajua Raia wana maisha mazuri kumbe hakuna kitu.
Huwezi ona jitihada za watawala kutatua changamoto za umasikini wa vipato kwa raia badala yake wako busy na miradi ya vitu.
Raia wanabakia masikini ili CCM iwatumie kwenye siasa.